Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Mbona mapema hv aisee sisi hatutaki kusajiri banaNaona tumetoa ukata aise.View attachment 2278548
Mbona mapema hv aisee sisi hatutaki kusajiri banaNaona tumetoa ukata aise.View attachment 2278548
Meza Inapinduka Tu...Pesa Ndo Inaongeamtaalamu david ornstein anasema manchester united wapo kwenye mazungumzo na ajax juu ya usajili wa martinez. huyu bwana mkubwa pia anagombaniwa vilivyo na arsenal. je tutapindua tena meza?

Hata Martial Kipindi Anasajaliwa Man United Maneno Yaliwatoka Mengi Sana Ya Kumdharau Matokeo Yake Msimu Ule Ule Alichokifanya Aliwaprove Wrong, ile Mechi Yake Ya Kwanza Dhidi Ya Liverpool Pale Old Trafford Nadhani Wakumbuka Vizuri Lile Goli LakeHuyu hawezi pata namba hata burnley

martinez kwa ajili ya magurie au mctominay ? inamana antony ndo basi tenamtaalamu david ornstein anasema manchester united wapo kwenye mazungumzo na ajax juu ya usajili wa martinez. huyu bwana mkubwa pia anagombaniwa vilivyo na arsenal. je tutapindua tena meza?
anacheza CB na DM. kuhusu antony ugumu upo kwenye bei ya kuuzwa kwakemartinez kwa ajili ya magurie au mctominay ? inamana antony ndo basi tena
sioni ajax wakiuza wowote wawili na hata wakikubali hela ndefu man hawawezi kulipa !anacheza CB na DM. kuhusu antony ugumu upo kwenye bei ya kuuzwa kwake
Uwepo wa Ronaldo ni kama utatuzuia kusajili Striker au yawezekana Manchester bado wanaangalia ukuaji wa Alejandro Garnacho na hali ya Mason Greenwood.imetumwa ofa ya paundi million 39 kwa ajili ya lisandro martinez kutoka ajax
niliangalia clip yake moja, ni telles wa kijerumaniDavid Raum amesaini Borussia Dprtmund.
kikwazo ni bajeti na upatikanaji wa mshambuliajiUwepo wa Ronaldo ni kama utatuzuia kusajili Striker au yawezekana Manchester bado wanaangalia ukuaji wa Alejandro Garnacho na hali ya Mason Greenwood.