Hahahaa Jombaa u're disrespecting the legend. Una maoni kama ya Wayne Rooney alisema Pogba na Ronaldo wanapaswa kuondoka ili kujenga timu upya.huyu Ronaldo nilijaribu kumuelezea kutokea kwenye angle ambayo wengi hawakutaka kuitumia lakini nikiaishia kuitwa pro mesi na kutolewa kauli zingine za dhihaka.
huyu alichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu trend ya mafanikio ya timu iliyopata msimu wa 2020/21, mchezaji wa aina yake hakuwa kwenye plans za OLE, na kimsingi alikuwa mzigo kwa timu kuliko msaada.
huyu alikwenda pale akiamini atatembelea nyota ya mafanikio ya 2020/21 kupata kick ya kuiwezesha timu kuchukua makombe, akaishia kumvuruga kocha na kila mchezaji.
kama ten hag anajielewa auachilie huu mzigo uondoke with immediate effect
Binafsi namuelewa Ronaldo kuomba kuondoka. Faida yake kikosini ni zaidi ya uchezaji wake bali pia anatoa mchango mkubwa sana wa mentorship kwa vijana wadogo kama Alejandro Garnacho, Jadon Sancho.
Japokuwa kibinafsi namkubali sana Ronaldo na ningependa abaki ila kwa maslai mapana ya timu naombea aondoke, hii taarifa ni kama baraka iliyojificha kama kweli ataondoka. Na mtu atakayefurahia zaidi atakuwa ni Ten Hag.
Mfumo wa EtH naona kabisa Ronaldo angeweza kuwa kikwazo kwake. Na hata kama atabaki sioni akimuongeza mkataba mwakani.