Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,103
- 53,596
Ten Hag hana timu ya ku-implement tactics zake.Post yangu uliyoquote nilimaanisha hiki kitu, nashangaa hukunielewa.
Uwepo wa Ronaldo upfront unamruhusu kocha kuimprove squad kwenye other positions. Kuondoka kwa Ronaldo either united waspend big money kubuy CF wa Kumreplace Ronaldo kitu kitachozuia kuimprove other positions (financially wise) OR waimprove other positions huku wakitafuta cheap CF kitu kinachowarudisha nyuma quality wise.
Ten hag hili suala analiangalia kiufundi zaidi wakati management wanaliangalia kiufundi & kiuchumi.
Timu iliyoshindwa ku-implement tactics za Ralf Rangnick leo waweze za Ten Hag?
Guys, let's be realistic now. Man Utd haina wachezaji wa kuimplement any serious tactics.
Individual efforts zilitubeba atleast last season.

| The only thing that is holding up Frenkie de Jong to Man Utd is the player himself. He is reluctant to leave Barcelona and is not that convinced by Erik Ten Hag's project. [@MarkOgden_] #fcblive
