Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,101
Msimu tunamaliza nafasi ya pili EPL timu nyingi zilicheza chini ya kiwango, msimu uliopita Chelsea walianza vizuri sana ilikuwa lazima wamalize ndani ya top 4, Spurs baada ya ujio wa Conte wakaanza kufanya vizuri sana kipindi hicho sisi tunadondosha points kipuuzi.
Halafu leo hii mtu anasema Ronaldo ndiyo sababu hatujamaliza top 4 na mtu huyohuyo msimu mzima alikuwa anaimba taarabu za Maguire asicheze, McFred siyo combo nzuri, tutafute DM, tununue CB, RB Dalot na AWB hawafai ila leo hii anakuambia RONALDO ndiyo sababu.

Kama mlikubali kuna mapungufu karibia kikosi kizima kwanini hamtaki kuamini ndiyo chanzo cha matokeo mabaya na siyo sababu ya ujio wa Ronaldo.
Ninatamani Ronaldo abaki, y'all need a humbling.