Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kazi ipo
Screenshot_20220628-182819_Twitter.jpg
 
Tyrell Malacia....

Ngoja nimcheki..

But tusijajili mtu asiyeweza kuingia first eleven direct...itakuwa ujinga
mashabiki wa feyenord wanasema udhaifu wake mkubwa ni krosi kwa maana hayupo daraja moja na trent, dani alvez. ila anafanya mashambulizi na kukaba kwa kiwango cha juu. kaitafute fainali ya as roma na feyenord
 
kuna forum ya nottingham forest nimeona taarifa yao wanamfuatilia brandon williams na inasemekana thamani yake ni paundi million 10. mpaka muda sijamuona muandishi yeyote mkubwa wa manchester united akiripoti taarifa hiyo. kama nottingham forest watafanikiwa kumsajili dean henderson kwa mkopo, kwa sheria za sasa hawataweza kusajili mchezaji mwengine wa manchester united kwa mkopo. kazi kwake james garner na pre season
 
EtH akipewa backup nzuri ya uongozi pamoja na sisi mashabiki bila kuwa na kiraru cha kutaka kurejea haraka haraka ktk ubora wetu tunaweza kufanya jambo ktk kujenga msingi wa awali.

Dirisha hili lina wachezaji wengi sana wazuri wa bei chee kila idara kuliko msimu wowote ule toka nimeanza kuangalia mpira ila hawaimbwi ktk vinywa vya watu. Hawa niliowa-list hapa chini wote wana umri wa miaka 20 ~ 23 na bei zao hakuna anayeweza kuzidi hata Euro 50M.

Beki wa kati: Alessandro Bastoni, Nico Schlotterbeck, Josko Gvardiol

Beki wa kushoto: Borna Sosa, Tyrell Malacia

Viungo: Boubacar Kamara (free agent, 150k/weekly), Matheus Nunes
Finally, Dirisha hili inaonekana kuna mipango. Hakuna ukurupukaji wa kibozo bozo.

Maombi yangu naona Mungu anasikia. Tatibu tutafika, huwa siaminigi kabisa ktk wachezaji wa pesa nyingi. Wanakuja na inflated ego.
 
ten hag inavyosemekana hakuvutiwa na performance ya telles tulipocheza na crystal palace. huyu malacia amemfanyia uchunguzi tokea yupo ajax hivyo anamfahamu. huu si usajili wa kukurupuka
Juzi nilipoona anajianda kwenda Ufaransa nilinyong'onyea kichizi. Unaachaje kipaji kikubwa vile kikupite kwa bei chee? Ilhali tuna mapungufu upande wa kushoto?
 
EtH akipewa backup nzuri ya uongozi pamoja na sisi mashabiki bila kuwa na kiraru cha kutaka kurejea haraka haraka ktk ubora wetu tunaweza kufanya jambo ktk kujenga msingi wa awali.

Dirisha hili lina wachezaji wengi sana wazuri wa bei chee kila idara kuliko msimu wowote ule toka nimeanza kuangalia mpira ila hawaimbwi ktk vinywa vya watu. Hawa niliowa-list hapa chini wote wana umri wa miaka 20 ~ 23 na bei zao hakuna anayeweza kuzidi hata Euro 50M.

Beki wa kati: Alessandro Bastoni, Nico Schlotterbeck, Josko Gvardiol

Beki wa kushoto: Borna Sosa, Tyrell Malacia

Viungo: Boubacar Kamara (free agent, 150k/weekly), Matheus Nunes
Tayari tushavuta huyo wa kushoto.
 
2022/2023 EPL SEASON PREDICTION
League table

Teams Gd points
1.Man utd 98 105
2.Man City 85 82
3.Tottenham 60 70
4.Liverpool 68 69
5.Newcastle 41 62
6.Chelsea 58 61
7.Aston Villa 40 55
8.Leicester 35 50
9.West ham 37 49
10.Arsenal 1 42

EPL TOPSCORERS
1.C.Ronaldo (Man utd) 38goals
2.B. Fernández (Man utd) 28goals
3. Harry Kane 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 (Totte) 23goals
4.Antony (Man utd) 20goals
5.M.Salah (Lvpl) 17goals)14pens
6.Lewandowsky (Chls) 17goals

TOP ASSISTS
1.B.Fernandez (Man utd) 32assists
2.Frankie De jong (Man utd) 25assists
3.Sancho (Man utd) 21assists
4. De bruyne (Man city) 15assists
5.Antony (Man utd) 15assists

MOST CHANCES CREATED
1.B.Fernandez (Man utd) 358
2.Sancho (Man utd) 321
3. De jong (Man utd) 250
4.Antony (Man utd) 180
5.De bruyne (Man city) 120

MOST DRIBBLES
1.Sancho 550
2.Antony 550
3.Saint Maximin 120
4 Ziyech 13

MOST REDCARDS
1.Xhaka 4 (Arsenal)
2.Rob Holding 2 (Arsenal)
3.Ben white 1 (Arsenal)

Most yellow cards
1.McTominay 18 (Arsenal on loan)
2.Thiago silver 17 (Chelsea)

GOALKEEPERS WITH MOST CLEANSHEETS
1.De gea 58
2.Dean Henderson 42
3.Allison Becker 20
4.Lee Grant 19

MOST M.O.T.M
1.Ronaldo (Man utd) 28
2.Antony (Man utd) 20
3.Lewandowsky (Chel) 3

Player of the season: Ronaldo
Young player of the season: Antony

Most flops of the season
1.Halaand

Most improved: Sancho

EPL winner: Man Utd
Carabao winner:Man utd
FA Cup Winner Man Utd

Sema hii timu tumezidi sifa ndio maana hatuendelei
 
Back
Top Bottom