Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Simon stone na laurie whitwell wote wameripoti hii taarifa ya ronaldo, bila ya kumsahau mzee wa here we go ambaye mwanzoni nadhani alikanusha hii taarifa (sina uhakika). Mara nyingi fabrizio anafeli kwenye ishu nyeti au za ndani zaidi za klabu hususani manchester united
 
Wakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki

🚨🚨 Laporta says Barça have “no intention of selling Frenkie de Jong, he wants to stay!”
 
Wakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki

Barça president Laporta on de Jong: “There are many clubs that want him, not just Man United. We have no intention of selling him, he wants to stay”. 🚨 #FCB

“I'm going to do everything to keep Frenkie, but there’s also a salary issue and that would have to be adjusted”.

#MUFC https://t.co/zG4mmo6Rfj
 
Wakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki

Laporta says Barça have “no intention of selling Frenkie de Jong, he wants to stay!”
Ukiwa huna ela kwenye kikao cha familia utaleta vurugu tu...ndio qnachokifanya Laporta hawana hela hao subiri uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CR7 kashasema anataka kwenda wapi jamani? Mwambieni huku Chelsea kuna nafasi yake kabisa na namba 7 ipo kabisa kwa ajili yake, Ngolo Kante tutampa namba 6 ya Silva na Silva tutampa namba 2 aliyoiacha Toni
 
Wakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki

Laporta says Barça have “no intention of selling Frenkie de Jong, he wants to stay!”
LIONEL MESSI
 
huyu Ronaldo nilijaribu kumuelezea kutokea kwenye angle ambayo wengi hawakutaka kuitumia lakini nikiaishia kuitwa pro mesi na kutolewa kauli zingine za dhihaka.

huyu alichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu trend ya mafanikio ya timu iliyopata msimu wa 2020/21, mchezaji wa aina yake hakuwa kwenye plans za OLE, na kimsingi alikuwa mzigo kwa timu kuliko msaada.

huyu alikwenda pale akiamini atatembelea nyota ya mafanikio ya 2020/21 kupata kick ya kuiwezesha timu kuchukua makombe, akaishia kumvuruga kocha na kila mchezaji.

kama ten hag anajielewa auachilie huu mzigo uondoke with immediate effect
 
Mpumbavu mkubwa huyu Ronaldo...anajali tu mambo yake..

Sasa Eth amtoe akajifie huko tupunguze wazee kikosini.
 
huyu Ronaldo nilijaribu kumuelezea kutokea kwenye angle ambayo wengi hawakutaka kuitumia lakini nikiaishia kuitwa pro mesi na kutolewa kauli zingine za dhihaka.

huyu alichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu trend ya mafanikio ya timu iliyopata msimu wa 2020/21, mchezaji wa aina yake hakuwa kwenye plans za OLE, na kimsingi alikuwa mzigo kwa timu kuliko msaada.

huyu alikwenda pale akiamini atatembelea nyota ya mafanikio ya 2020/21 kupata kick ya kuiwezesha timu kuchukua makombe, akaishia kumvuruga kocha na kila mchezaji.

kama ten hag anajielewa auachilie huu mzigo uondoke with immediate effect
Bado nashindwa kuielewa mpaka leo hii nadharia yako kuwa Ronaldo ndiyo aliharibu timu msimu uliopita wakati wote tulishuhudia baadhi ya mechi bila Ronaldo nini kilitokea. Hivi Ronaldo alichangia vipi defense yetu kuwa mbovu?

Last season was a failure. Mnalazimisha tu kutumia kivuli cha Ronaldo kumbebesha fuko la misumari. Hakuna kocha au timu anakubali itakubali kumuachia mchezaji wao bora kirahisi huku bado ana mkataba, akilazimisha ndiyo atafunguliwa milango ila kishingo upande. Usitarajie Ten Hag kuwa na mawazo kama yako.
 
images (2).jpeg
images (3).jpeg
 
Tena mshahara wake tutalipa wachezaji watatu wapya,.Ila Man u tujifunze kutosajili wachezaji kibiashara,huyo ronaldo mwaka jana hakua kwenye plan,na huenda tungemtemea Cavani tungemaliza vizuri tu
Hivi mnaposema hakuwa kwenye plan mnamaanisha nini? Timu ilihitaji magoli na Ronaldo ni striker. Iweje Cavani ambaye wote na Ronaldo wapo kwenye 30s mmoja nusu msimu yupo majeruhi halafu a fit Cristiano Ronaldo hayupo kwenye plan!!!
 
Back
Top Bottom