Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wanakwambia huyu kocha alimtoa tumchel bar akamfundisha mpira na alimuokota klopu kwenye vilabu vya pombe akamfundisha gen gen pressing
Mpaka waombe msamaha kwa hizo kauli zao ndio mambo yao yatanyooka.
 
Kwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole

Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.
Ronaldo Sancho, Kavani,Bruno, Varane wote wa hivyo.
 
Kiufupi nimekata tamaa ya kuingia big4 tunashinda mechi 2 ya tatu tuna boronga nimekata tamaa ya kila kitu msimu huu sioni timu tutayoitoa pale juu.
ally pipi kama ally pipi.

Nakumbuka ulisemaga Chelsea ikibeba yuefa utatupa wewe na mke wako
 
 
Dah😂 Peter Drury hapa kazidisha sasa!
 
carabao hawapo ,astonvilla atawavuta shati,man u asipookota point kwa hawa wadogo,ajiandae ana ratiba hapo mbele imeongozana big games plus ucl,
Yeah ni FA.

Ila zinafuata game nyepesi kwenye ligi ni vile tu mid table za sasa ni jeuri na nyingine zinathubutu kusema kuna timu wakikutana nazo lazima wapate point na mojawapo ya hizo timu ni united.
 
 
Peter Drury:

Manchester United is the most consistent team, 1 win in August, 1 win in September, 1 win in October, 1 win in November, 1 win in December...it’s just like a Menstrual cycle
 
Pamoja na yote kama Ralf anasema alimtoa Tuchel bar na kumfundisha coaching mi nakubali kwamba kweli Tuchel katolewa bar na kafundishwa na Ralf.

Kumpa timu Ralf ni kama kumpa timu Kashasha au wakina Neville kisa umevutiwa na ideas zao za namna gani timu itapata ushindi. Mashabiki wa united wana perepeche nyingi sana, kutokana na hilo walivyojua tu kocha ni Ralf hata hawakutaka kuangalia rekodi zake wakaja tu na stori za yeye kuwainfluence Tuchel na Klopp.

Turns out Ralf ni Bielsa wa kijerumani, stubborn, good at analysing football and formations but poor to average execution of ideas.

Standards zimeshuka siku hizi. Wanaifunga Burnley wanatembea nyuzi za watu kusumbua kudai Ralf ni kocha hakuna mwingine next game unakufa against Wolves unasema kocha ni lofa and what not.

Mimi napenda kwamba walianza kumfananisha Ole na Arteta sasa hivi wamehamia kwa Ralf na Arteta. Ngoja tuone.
 
Afadhali Carrick angeendelea kuisuka hii timu.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…