Mwakani hatuchezi Uefa champions league.....
Kocha anatudanganya anasema anahitaji control ya mchezo lakini anachezesha namba 6 wawiki kweli?? Angalia man city na liver wanacheza viungo 3 tena hapo kiungo mkabaji mmoja tu....
ila sisi jamaa kakazana na viungo wakabaji 2, alafu analeta habari za kucontrol game....number 10 wawili ambao wanacheza kama 10 na pia kama winga ni idea ngumu sana na hata haieleweki maana muda mwingi unaona namba 10 ipo wazi haina mtu....
Pia kocha anabahatisha hadi aibu, kule mbele kwanini anachezesha striker wawili wakati hata possession ya mpira hatuwezi, kwanini asitengeneze pattern nzuri ambayo itasaidia steiker mmoja kupewa nafasi za kutosha na kufunga...