Ndg usisahau hata vitimoto vinamachinjio pia!Hapo machinjio gani hapo ..watu wanakuja mpk wanawagonga goli 5 hapohapo ndo unapaita machinjioni![]()
Mmegundua style mpya inaitwa depressing
Tutawaletea, usijali.Nataka anayepost kikosi cha united uzi wa Arsenal akafanye hivyo. Na matokeo pia asisahau.
shusha presha, tunashinda 2+Yani leo na hiki kihere here changu cha kuangalia hii mechi daaah sijui!
Kikosi ushapeleka?Tutawaletea, usijali.