Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Nakubaliana nawe.Yaani hawa nyumbu wapate nafasi ya 4??
Waipatie wapi sasa??😂😂
Itakuwa hakuna haja ya soka sasa kama timu useless kama hii ikipata namba 4.
Timu hii ilikosea tangu kumfukuza Moyes


