Jana ulikula?Mechi ngumu lakini tunashinda tu.
Vipi unaonaje Sosha akirudi?Jesus Christ..
Ralf Rangnick anafanya nini kwenye training??..
Hawa wachezaji wana akili ya mpira na control kweli??
Man u timu zingine zinaenda zikipanda ligi ila yeye yupo vice versa


RR out...nadhani falsafa yake inajivuruga yenyewe, how can you control the game with everyone attempting to give through passes of which we clearly know we have few players capable of doing so? the likes of bruno and greenwood, wengine wanatetemeka kwanza kabla ya kupiga pasi macho
Alikuwa mwalimu wao wa kingereza kumbeWanakwambia huyu kocha alimtoa tumchel bar akamfundisha mpira na alimuokota klopu kwenye vilabu vya pombe akamfundisha gen gen pressing
Alikuwa mwalimu wao wa maarifa ya jamiiHii ndiyo ile timu ya Prof. Rangick aliyewafundisha TT na Kloop ukocha au huyu ni kivuli chake![]()
tutimue kochaHaiwezekani kila kocha awe mbaya hapana. Wachezaji hata wanavyocheza yani hawana passion kabisa wengi wao hawawezi kukaba vizuri kuweka miguu yani kudadeki sijui tu ila nimechoka nao kabisa.
Usajili wa Ronaldo kwa namna flani ndio pia ulimuharibia Ole. Usajili wake ulikuwa ni wa kibiashara zaidi. Hakuwa kwenye mipango ya Ole kabisa

Ameanza kuwa mjinga eh?Hapana mkuu, Combination ya Fred & Tominay ilikuwa ime-fit sana. Huyu mjinga anamuweka Fred nje kwa ubaguzi wake wa rangi tu.
You had a chance ya kumsaini huyo kocha wa Totte.Ndio wachezaji wana shida lkn kocha nae uwezo wake siyo mkubwa kama tulivojiaminisha.
Ana maneno mengi kuliko vitendo.
Kaangalie wanavocheza Tottenham sa ivi, ndo utajua ubora wa kocha wao