Niuzien mm niwapeleke DTB FCHaiwezekani kila kocha awe mbaya hapana. Wachezaji hata wanavyocheza yani hawana passion kabisa wengi wao hawawezi kukaba vizuri kuweka miguu yani kudadeki sijui tu ila nimechoka nao kabisa.
RR hawezi kufukuzwa kama asipowaridhisha ma-boss anakula mkataba wake kama mshauri wa timu kama walivyokubaliana.Makocha ndio shida kubwa hapa. Bruno, Rashford, Fred kama hawaumwi na wameanzishiwa tu benchi makusudi, huyu RR atafukuzwa mapema sana.
Tumebadili makocha wangapi mkuu na mambo yale yale. Huyo bruno nae akiingia yale yale siku hizi kachuja fred ndo kabisa.Makocha ndio shida kubwa hapa. Bruno, Rashford, Fred kama hawaumwi na wameanzishiwa tu benchi makusudi, huyu RR atafukuzwa mapema sana.
Yamekuwa haya tenaHapana mkuu, Combination ya Fred & Tominay ilikuwa ime-fit sana. Huyu mjinga anamuweka Fred nje kwa ubaguzi wake wa rangi tu.
with high intensity just dont miss the second half.Naona mkicheza GENGENI DRESSING
Hawana jipya mwl alie mfundisha Jk akabaki kuwa mwal ila Jk akawa Rais haha Ralf na klopp na TTNaona mkicheza GENGENI DRESSING
sio mvivu ni kwamba creativeness level is dropping kwa kasi sanaPia ronaldo na cavani kule mbele ni sawa na tunacheza gombania goli striker mmoja anatosha....
Ronaldo mvivu mvivu hivi, anatusaidia lakini anatupotezea muda kama tunataka tufike mbali
Mkuuu leo CR7 MAGOL AMEKUWA ANAWAPOTEZEA MUDA HA HA SUBILI JUA LICHOMOZEPia ronaldo na cavani kule mbele ni sawa na tunacheza gombania goli striker mmoja anatosha....
Ronaldo mvivu mvivu hivi, anatusaidia lakini anatupotezea muda kama tunataka tufike mbali
Ralfsio mvivu ni kwamba creativeness level is dropping kwa kasi sana
Ndio wachezaji wana shida lkn kocha nae uwezo wake siyo mkubwa kama tulivojiaminisha.
Ana maneno mengi kuliko vitendo.
Kaangalie wanavocheza Tottenham sa ivi, ndo utajua ubora wa kocha wao
Hapana mkuu, Combination ya Fred & Tominay ilikuwa ime-fit sana. Huyu mjinga anamuweka Fred nje kwa ubaguzi wake wa rangi tu.