Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Game ya leo itakuwa siyo la kitoto Wolves wapo radhi mechi iishe 0 - 0 ila siyo uwafunge kirahisi, hii mechi tutashinda tukiwa na defense nzuri ni mechi tunayoweza kupata goli 1 tu na ili upate hizo points 3 ni lazima uwe na walinzi wazuri.

Nakumbuka mechi ya kwanza msimu huu tuliwafunga Wolves 0 - 1 ila ni mechi iliyokuwa inaisha kwa droo au kufungwa kama tu Wolves wangekuwa makini. De Gea alituokoa dk za mwanzo kabisa uso kwa uso na Jimenez, Bissaka akaokoa mpira kwenye mstari baada ya Fred kufanya makosa katikati ya uwanja kwa kushindwa ku-control mpira. 2nd half De Gea akatuokoa baada ya corner ya Wolves kwa kufanya double saves.

Mechi ya kwanza tulishinda kwasababu ya form ya Greenwood akifunga mechi ya kwanza na ya pili kuokoa point moja mbele ya The Saints na kutupa alama 3 muhimu katika mechi tuliyocheza vibaya dhidi ya Wolves. Shuti la Greenwood lilimzidi nguvu goalkeeper ndiyo ikawa pona yetu.

Mechi ya leo Greenwood na McTominay ni watu muhimu kuanza, ndiyo wachezaji pekee kikosini wenye mashuti makali yanayokuwa on target. Kama mechi iliyopita mashuti ya McTerminator nje ya box ni muhimu sana na leo.
Yametimia Wolves ni aidha uwafunge moja au wakufunge moja au msifungane.
 
from my observation, the number of players that are supposed to be offloaded is big, vyombo vya habari uingereza vinatuponza, eti the squad of many talented players kweli? I declare this team to have a lot of trash, tusipokuwa makini tutafukuza makocha wengi bila mafanikio
Mapema sana hata Rahl nae anafukuzwa?
 
Leo mashabiki wa ASANI-ALI wanaoishabikia Wolves wanakwenda kulia mara ya pili..
Tunasubiri tuone atalia nani😁
Kwa upande wangu mimi hii ndio naiona shida kubwa kuliko yote.
Wachezaji wetu hawana ushirikiano kabisa yaani utafikiri wao kwa wao wanacheza timu pinzani.
Mipira wanapoteza hovyohovyo tu, ila leo naona beki kidogo zinajitahidi ila hapo kati na mbele hamna kitu kabisa.
Yote kwa yote nina imani na captain wetu hawezi kutuangusha lazima tuwafunge kama si goli 2 basi 1.
hongera kwa ushindi mkuu
 
Kwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole

Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.
mchezaji wenu yupi hafai kushindana kwenye level ya juu?
 
Kwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole

Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.
Sikubaliani nawe katika hili. Bruno Fernandes ni mchezaji wa kiwango cha juu
 
Nilikuonya asubuhi mkuu kutokuangalia mechi
Nikasema hamna timu ya kuifunga wolves,,salama yenu ilikuwa mlinde goli hadi mdraw...
Wolves wakishatikisa nyavu,kugusa nyavu zao sahau kabisa.
Jamaa wana ukuta pale nyuma.
Mkosi wa dunia
Nyumbu ni nyumbu tu hawezi kua nyati(mbago) hata siku moja.
Yaani wolves bora hata wangepiga goli 5 kama zile za Liverpool ili akili ikae sawa.
 
Back
Top Bottom