mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,225
Mtamaliza makochaNdio wachezaji wana shida lkn kocha nae uwezo wake siyo mkubwa kama tulivojiaminisha.
Ana maneno mengi kuliko vitendo.
Kaangalie wanavocheza Tottenham sa ivi, ndo utajua ubora wa kocha wao
Daaa Man U Yangu Kwanini Mnanitenda Hivi? nimewakosea Nini Mimi?
Tayari!?Kamba![]()
Jamaa kaingia..ngoja tuoneNawaza angekuwepo ADAMA TRAORE




Dakika 65Present your idea in Swahili plz, we are swahiliz! HahaaaIs Rangnick really the top coach he is touted as being? Seems he has a few good ideas, but he doesn't seem to implement them in an effective way.
Kwahiyo mkuu mnataka mshuke daraja sio??Sitojali kama tukiwafukuza wachezaji karibia wote tukaanza upya..sitojali kabisa..
De gea ana wabeba sana