

Peter Drury:
Rangnick's Man United are playing a new kind of pressing football called "depressing".
![]()
![]()
![]()
carabao hawapo ,astonvilla atawavuta shati,man u asipookota point kwa hawa wadogo,ajiandae ana ratiba hapo mbele imeongozana big games plus ucl,Juzi baada ya kuifunga Burnley (BURNLEY) Sista mmoja akatuma screenshot akazungushia na kaduara kumaanisha wana mechi mkononi na wakishinda mechi ijayo (Hii ya Wolves) anakua nyuma ya mshika namba 4 na akishinda ijayo anakua namba nne.
Sasa mimi nasema mwambieni SISI TULIO NAMBA NNE tumekubali kumpa points tatu za kiporo chake kisha alete screenshot ya msimamo tujue kama atakua kaifikia namba nne.
Next game ni dhidi ya Villa, mnaanza nao kwenye Carabao kisha ligi, mtatia aibu mkipotezwa kote kuwili.
Also clean sheet bado ni msamiati. Hawa ni wale walikua wakishangaa bei ya White wakawa wanasema Varane ameshinda makombe mengi yeye na Maguire watatengeneza ukuta umetulia.
Varane anapokea 340K back four ya Arsenal inapokea 310K lakini tunajua ni ukuta wa dunia ndiyo unasumbuka kupata clean sheet against Newcastle, Wolves, Burnley and the like
Yaan hii timu inapigwa Tu daily kwenye dili z wachezaji imagine bissaka ndo huyo hata kupiga cross anazidiwa na djuma shabani WA yanga....Maguire ndo usisemeIla Man u shida ni nini?
Unajua mna timu ya bei kubwa(kwa kununua na thaman zaid ya wengi pale epl)??
Degea
Miguire mlinunua bei
Beki za pemben zote mbili mlinunua bei
Varane
Pogba
Sancho
Bado rashford mkiweka sokon ni bei kubwa
Iv timu ina hawa kule mbele
Ronaldo
Sancho
Rahsford
Cavan
Pogba
Fernandez
Iv hii timu inafungwafungwaje ovyo iv? Yaan hata sisi Arsenal tunawashangaa maana tuna kikosi cha kawaida kabisa
sanchoka ndo kabisaaa



tulien wapinzan tunaona gegen press na tunaliinjoy birian si ni nyie mlimkataa sosha kocha mteuleRangnick maneno mengi!!!..
Sasa leo alimuingiza Rashford kufanya nini kama sio uwendawazimu.
Hata hii consultancy atapuyanga tu if so..
Timu inashida nyingi saa hii..
Rangnick maneno mengi!!!..
Sasa leo alimuingiza Rashford kufanya nini kama sio uwendawazimu.
Hata hii consultancy atapuyanga tu if so..
Timu inashida nyingi saa hii..











Dada si umeolewa wewe?...lea ndoa huko.