Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lakini mkuu nilikwambia mapema ukanibeza.
Wolves siyo wepesi kama mlivyofikiria...Wolves bila kujikaza hutoboi wale jamaa.


Sasa nyie mlidhani mtawafunga kweli??
Nadhani leo mmeshuhudia mubashara ule ukuta na defence yao ilivyo.


Hamna timu hapo,
Mwanaume kushabikia manchester utd ambayo hata wadada hatuitaki aisee ni uzembe
Hiyo Aya ya mwisho ni tusi mkuu, hahaaa
 






Formation ya Rangnick hiyo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
20220103_233624.jpg
 
Jesus Christ..

Ralf Rangnick anafanya nini kwenye training??..

Hawa wachezaji wana akili ya mpira na control kweli??
Kumbe kuna muda unamkumbukaga Mungu eeeh!🤣
Tulia hao ni ndio wolves sasa😂😂😂😂
 
Naona nyumbu mnapoteana🤣😂😂😂😂🙌😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Ralf hatufikishi popote, kunasiku niliwahi sema kocha anaongea sana atulie afanye kazi.....hatufikishi namba 4 mwakani Europa.....
Mi nataka kujua hii formation yake ya 4-2-2-2 alishawahi kuitumia kwenye timu gani kabla hajaja united?
Na kama alishawahi kuitumia ilileta tija gani kwenye matokeo?
Asije kua huyu muhuni amekuja United kwa ajili ya kufanyia research hio formation yake ya Ngengemkeni
 
Back
Top Bottom