@ARVKosi la dunia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuonya asubuhi mkuu kutokuangalia mechi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema hamna timu ya kuifunga wolves,,salama yenu ilikuwa mlinde goli hadi mdraw...
Wolves wakishatikisa nyavu,kugusa nyavu zao sahau kabisa.
Jamaa wana ukuta pale nyuma.
Kwa tunaojua mpira hatulaumu kochaWanakwambia huyu kocha alimtoa tumchel bar akamfundisha mpira na alimuokota klopu kwenye vilabu vya pombe akamfundisha gen gen pressing
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanakwambia huyu kocha alimtoa tumchel bar akamfundisha mpira na alimuokota klopu kwenye vilabu vya pombe akamfundisha gen gen pressing
Mbili na hiyo faulo ya BrunoMechi Inaisha Tuna Shoot On Target 1 Daaaaah Man U [emoji27][emoji27]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]nacheka kama mazurikama kawaida, kosi la dunia dimbani na legend wetu mwenye ligi kuu yake begani phil jones mzee wa backhead deffence the balon dor contender, na formation ni 4, 2, 2 ,2. kitaumana
Kweli nimeona mechi imeisha 2-1shusha presha, tunashinda 2+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Mechi ngumu lakini tunashinda tu.
Kosi la dunia limekua ni mkosi wa dunia.Kosi la Dunia limefungwa
Nimecheka sana mkuuuTeam imejaa wehu tupu si kocha wachezaj mashabiki
Hii formation hata mi siikubali lakin babu kaishikilia wakat haina msaada wowote pumbaf kabisa4-2-2-2 we ulisikia wapi i formation[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2067518
[emoji23][emoji23]Timu bovu sana