Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Kaingia ULANGA sasa ππππππππ
Hahhahahaha bado kuna lingine hapaTimu ya kapumbavu na sub za kijinga
Yule mwenye jina la dawa ya ukimwi nimempiga ignoreNaomba uwakumbushe wapeleke kikosi na matokeo katika uzi wa Arsenal
Ndugu yangu mimi wala sina tabu mbona. Najifurahisha tu nafsi yangu.![]()
Mkuu tuache kidogo tuna majonzi
Mkuu tulisema hatutaki matusi na kejeliTimu ya kapumbavu na sub za kijinga
Hili kosi la dunia mkuu ndio msitoboe?? Acha utani aiseeeeKwa wachezaji wa aina hii hatutoboi
Hili kosi la dunia mkuu ndio msitoboe?? Acha utani aiseeee

Nilikuonya asubuhi mkuu kutokuangalia mechiπππTimu ya kapumbavu na sub za kijinga