Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292



kwa hio formation yake ya Ngengemkeni unaweza ukawa sahihi kabisa Mkuu.


kwa hio formation yake ya Ngengemkeni unaweza ukawa sahihi kabisa Mkuu.Peter Drury:"Manchester united is the most consistent team, one win in August_, one win in September,one win in October, one win in November, _one win in December. its just like a_menstrual cycle!! if they don't win in January know that they are pregnant"![]()





daaah! Hii timu hata kuangalia mpira wake ni kazi mpira unachezwa hauna radha hata kidogo, wachezaji wetu control hawana we cheki mechi inaisha short on target 0_mmmh! Me nasema tena kuchange makocha bila kufukuza michezaji mizembe pale tutakua kama evatoni, wachezaji hawajitumi hadi hasiraShida sio kichapo, shida kubwa inyoumiza ni huo mpira tunaocheza yaani hata Majimaji ya Songea wana afadhali, yaani utafkiri timu kwa mara ya kwanza ndio imepanda daraja msimu huu.Mashabiki wa Manchester United wanaweza wakapata mental disease usiku huu wa leo kwa sababu ya kichapo walichopokea usiku wa leo.
Mungu awatangulie kwa kweli wakuu. Japo najua mtapata usingizi wa shida ila hakuna namna. Ndiyo ukubwa huo.
Kwa kipindi hiki kocha ni bora angetumia formation ya 4-5-1 kuliko kung'ang'ania hio Ngengemkeni yake.Hiyo formation DM inabidi wawe wawili isipokua mmoja inabidi awe na akili ya Kante au flexibility ya Partey.
Ni sahihi zaidi kurisk kumchezesha winger Rashford au Bruno kuliko Greenwood, mbele panahitajika kua na ST wawili, mmoja angalau angekua na spidi kwa ajili ya thru balls na kuwahi pasi za mawinger hivyo ingependeza wakae Ronaldo na Sancho.
Formation hii ni very demanding na united bado hawachezi kama unit ndiyo maana hata kuposses mpira hawawezi



Niliposikia Maguire hayupo nimefurahi sana lile shoga lakihindi kutowepo
shusha presha, tunashinda 2+
Wewe bwana kuja hapa
Nilikwambia mimi hamshindi
Labda mshinde njaa
Umeona mziki wa wolves???
Watoto wa kiumeni wateule pekee ndio wanaiweza wolves.


hua tunajipa moyo tu kabla mechi, ila kiuhalisia tunajijua kabisa hamna timu hapo, tunawadindikiza tu wenye timu zao.Pale hatuna ila tuna mashabiki wenye kelel na kujiamnhua tunajipa moyo tu kabla mechi, ila kiuhalisia tunajijua kabisa hamna timu hapo, tunawadindikiza tu wenye timu zao.
Namba za kocha +44 7911 123456Kwa kipindi hiki kocha ni bora angetumia formation ya 4-5-1 kuliko kung'ang'ania hio Ngengemkeni yake.
Huko chini maporomokoni ndiko mnakoenda sasa😂😂😂😂Mashabiki na kipa watoe kwenye orodha ya wehu.
Yaani kwa hii timu ni bora hata majimaji ya songea wanacheza mpira unaoeleweka, yaani hata hip nafasi ya 6 sijui tumefikafikaje, ilitakiwa tuwe kule kwa kina New castle.
Lakini mkuu nilikwambia mapema ukanibeza.hua tunajipa moyo tu kabla mechi, ila kiuhalisia tunajijua kabisa hamna timu hapo, tunawadindikiza tu wenye timu zao.




Jesus Christ..
Ralf Rangnick anafanya nini kwenye training??..
Hawa wachezaji wana akili ya mpira na control kweli??