Mungu hataki habari za mipira mkuuTunachocheza Mungu tu ndo anajua
Inconsistence ya scott is unbelievable aise,sijui kwann akiwa na mpira anatetemekaManchester United interim boss Ralf Rangnick has been asking his side to control matches.
They are miles off that here. With the extra man in midfield, it is the visitors who are dominating.
United are giving the ball away cheaply far too often
Source :BBC
huenda dogo analewa sifa haraka sana, he doesnt seem to have the confidence required as a man u playerInconsistence ya scott is unbelievable aise,sijui kwann akiwa na mpira anatetemeka
gegenpressingJesus Christ..
Ralf Rangnick anafanya nini kwenye training??..
nadhani falsafa yake inajivuruga yenyewe, how can you control the game with everyone attempting to give through passes of which we clearly know we have few players capable of doing so? the likes of bruno and greenwood, wengine wanatetemeka kwanza kabla ya kupiga pasi machoJesus Christ..
Ralf Rangnick anafanya nini kwenye training??..
Hawa wachezaji wana akili ya mpira na control kweli??
Mkuu unajua mpira aisee. The same has been said na kina Buffon, Chiellini na Bonucci kuhusu Ronaldo wakati yupo JuventusI am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.
Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.
wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.
I wish one of these days aanzie benchi.