Pole mkuuu ndio mpira mbona unaviporo mkuuu waweza shinda vyoteKiufupi nimekata tamaa ya kuingia big4 tunashinda mechi 2 ya tatu tuna boronga nimekata tamaa ya kila kitu msimu huu sioni timu tutayoitoa pale juu.
Nimeangalia kipindi cha Pili tu, na nimeshangaa kwamba tumekuwa na two shots on target, zake kapiga bruno aliyeingia kipindi cha Pili.
.Nina wasiwasi Podence ni mambo mengi kama Pepe mkuu.Mkuu hivi liverpool walimuona JOTA
hivi ni kweli huyu PODENCE hatufai kweli?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mkuu hivi liverpool walimuona JOTA
hivi ni kweli huyu PODENCE hatufai kweli?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
eti eeeeh?Leo mashabiki wa ASANI-ALI wanaoishabikia Wolves wanakwenda kulia mara ya pili..

mmelambwaWolves hawana jukwaa humu kwa hio we umeamua kubanana humuhumu kuwasifia wifi zako jinsi watakavyotupa miuno sio?

Hivi walidhani watashinda kwa wolves?
Wolves tu alitutikisa liverpool na city..tulishinda kwa mbinde kweli.
Sasa hawa wachovu wanamfungia wapi wolves??![]()
, hawana watu wa kupata hata goli moja kwa wolves hao.Hatuna uhitaji huo kwa sasa mkuu. Tena namba 3 tuko vizuri sana sana sana. Tierney na TavaresNamba 3 Somedo anafufaa sana
Kikosi kinapangwa kulingana na aina ya players waliopo.....Mwakani hatuchezi Uefa champions league.....
Kocha anatudanganya anasema anahitaji control ya mchezo lakini anachezesha namba 6 wawiki kweli?? Angalia man city na liver wanacheza viungo 3 tena hapo kiungo mkabaji mmoja tu....
ila sisi jamaa kakazana na viungo wakabaji 2, alafu analeta habari za kucontrol game....number 10 wawili ambao wanacheza kama 10 na pia kama winga ni idea ngumu sana na hata haieleweki maana muda mwingi unaona namba 10 ipo wazi haina mtu....
Pia kocha anabahatisha hadi aibu, kule mbele kwanini anachezesha striker wawili wakati hata possession ya mpira hatuwezi, kwanini asitengeneze pattern nzuri ambayo itasaidia steiker mmoja kupewa nafasi za kutosha na kufunga...
Mkuuu kunywa maji acha hasira kocha hata mwez hana unakata Tamaaaa ila ni mwal wa TT na klop au umesahau? Na ndio mwanzilishi wa gengen pressing ha haMwakani hatuchezi Uefa champions league.....
Kocha anatudanganya anasema anahitaji control ya mchezo lakini anachezesha namba 6 wawiki kweli?? Angalia man city na liver wanacheza viungo 3 tena hapo kiungo mkabaji mmoja tu....
ila sisi jamaa kakazana na viungo wakabaji 2, alafu analeta habari za kucontrol game....number 10 wawili ambao wanacheza kama 10 na pia kama winga ni idea ngumu sana na hata haieleweki maana muda mwingi unaona namba 10 ipo wazi haina mtu....
Pia kocha anabahatisha hadi aibu, kule mbele kwanini anachezesha striker wawili wakati hata possession ya mpira hatuwezi, kwanini asitengeneze pattern nzuri ambayo itasaidia steiker mmoja kupewa nafasi za kutosha na kufunga...
ngapi huko?Mzungoko wa kwanza tena wakiwa kwenye fomu kwelikweli karibia timu kubwa zote zilishindwa kuwafunga ila sisi tuliwatandika tena nyumbani kwao.
Sasa leo wapo machinjioni unategemea tuwaache?
Hatuna uhitaji huo kwa sasa mkuu. Tena namba 3 tuko vizuri sana sana sana. Tierney na Tavares