joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,843
- 39,468
Mlionea Mwanetu Ole Sendeka, haya sasa kipo wapo.
Iliishangaza football world United kumuacha Conte aende SpursToka kocha aje tumefanya mabadiliko gani ya kutuaminisha tunaenda njia sahihi?
Kiufupi nimekata tamaa ya kuingia big4 tunashinda mechi 2 ya tatu tuna boronga nimekata tamaa ya kila kitu msimu huu sioni timu tutayoitoa pale juu.
.Hongera Kwa kufungaKwa upande wangu mimi hii ndio naiona shida kubwa kuliko yote.
Wachezaji wetu hawana ushirikiano kabisa yaani utafikiri wao kwa wao wanacheza timu pinzani.
Mipira wanapoteza hovyohovyo tu, ila leo naona beki kidogo zinajitahidi ila hapo kati na mbele hamna kitu kabisa.
Yote kwa yote nina imani na captain wetu hawezi kutuangusha lazima tuwafunge kama si goli 2 basi 1.
Mashabiki na kipa watoe kwenye orodha ya wehu.Team imejaa wehu tupu si kocha wachezaj mashabiki
Sijui waliwaza nini....huyu kocha hakuna alichobadilisha mkuu zaidi ya formationIliishangaza football world United kumuacha Conte aende Spurs
Mkuu hawa tunazika kwa kuchoma miili yao! Na majivu tunayahifadhi kwaajili ya makumbushoMgonjwa amefia nyumbani
Hii nyumbu tunafukia tu, wale msiumize kichwa ndugu wageni
Sent using Jamii Forums mobile app

Watakuambia akija Lembu mkuu ila nadikia nyumbu kafa 1ngapi huko?
Dah wakuu naona mshaanza kupagawaHuyu Kocha Nae kwanini Alimuweka Ferdinand Nje?

Ferdinand si kastaafu sahv mchambuzi..kweli kipigo noma



May be. But masuala mengi yatahusika hapo. Plan ya club kwa Tomiyasu, FFP, salary issue, na hata priority kwenye timu maana najua we are in for a STNilimaanisha namba 2 sorry, somedo
Sio kwamba hazizidi 4, ni 2 bossSijui waliwaza nini....huyu kocha hakuna alichobadilisha mkuu zaidi ya formation
Imagine tunapoteza pass hata 10 hazifiki, kucontrol mpira na pressure shida, tunacheza na striker wawili ila shot on target hazizidi hata 4.....ninauhakika hakuna kocha wa kutupeleka namba 4 hapa
Nakubaliana nawe. Sidhani kama mtaweza kupata namba nne.Sijui waliwaza nini....huyu kocha hakuna alichobadilisha mkuu zaidi ya formation
Imagine tunapoteza pass hata 10 hazifiki, kucontrol mpira na pressure shida, tunacheza na striker wawili ila shot on target hazizidi hata 4.....ninauhakika hakuna kocha wa kutupeleka namba 4 hapa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah wakuu naona mshaanza kupagawaFerdinand si kastaafu sahv mchambuzi..kweli kipigo noma
![]()
aya mabadliko ya kupress ujayaona ww au unakaza ubongoToka kocha aje tumefanya mabadiliko gani ya kutuaminisha tunaenda njia sahihi?



uu mfumo ata matola apangTuweke rekodi sawa sio?? HaahahahahahSio kwamba hazizidi 4, ni 2 boss













Kazi yake ni kuwafundisha pale alipoacha mwenzie haijalishi kasajiri yeye au ole mkishinda mbona hamsemi hivyoKwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole
Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.

