Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Na watafungwa kwa sababu wameshindwa kutumia nafasi zaoNafikiri Wolves walistahili kupata hata goli moja la kuongoza
Na watafungwa kwa sababu wameshindwa kutumia nafasi zaoNafikiri Wolves walistahili kupata hata goli moja la kuongoza
Kuna mpumbavu Mmoja anaitwa dawa ya ukimwi anasema mna kosi la duniatunacheza ovyo sana hata pasi 5 tunashindwa.....kule mbele ndio kabisa yani move za magoli zikianza basi limoja linapiga pasi za ovyo....
Pasi hatuwezi, position hatuna kiasi kwamba magap meng sana ndani ya timu....
Hivi ndo tulitegemea nasisi tuchukue champions league, kwa tunavyocheza hatufiki popote
Kwahiyo kwa Gengen dressing mmepigwa wakuu???Ndio wachezaji wana shida lkn kocha nae uwezo wake siyo mkubwa kama tulivojiaminisha.
Ana maneno mengi kuliko vitendo.
Kaangalie wanavocheza Tottenham sa ivi, ndo utajua ubora wa kocha wao



Kwahiyo walipigwa??Is Rangnick really the top coach he is touted as being? Seems he has a few good ideas, but he doesn't seem to implement them in an effective way.
Kwahiyo walipigwa??
Naomba uwakumbushe wapeleke kikosi na matokeo katika uzi wa ArsenalNa watafungwa kwa sababu wameshindwa kutumia nafasi zao



kocha bingwa la pressingTimu ya kapumbavu na sub za kijingaHii ni timu kweli