Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Lini mlikuwa na mechi rahisi nyieNgoma ngumu leo..Acha tuone

Hao wolves mapema sana wanawalaza chali

Lini mlikuwa na mechi rahisi nyieNgoma ngumu leo..Acha tuone


Bora usiangalie tu mkuuHii game ya leo mmh! Naogopa hata kuiangalia


Leo mashabiki wa ASANI-ALI wanaoishabikia Wolves wanakwenda kulia mara ya pili..


Mashabiki wa ASANI-ALI wala wasikuumize kichwa mkuu, katika mashabiki wao kuna kichwa kimoja kinaitwa computerarsenal huyu jamaa mi ndie namuelewa sana hanaga unafki unafki.Lini mlikuwa na mechi rahisi nyie
Hao wolves mapema sana wanawalaza chali![]()



Wolves hawana jukwaa humu kwa hio we umeamua kubanana humuhumu kuwasifia wifi zako jinsi watakavyotupa miuno sio?Kama unadhani ni rahisi hivyo subiri muone kazi yao.Wolves hawana jukwaa humu kwa hio we umeamua kubanana humuhumu kuwasifia wifi zako jinsi watakavyotupa miuno sio?
Mzungoko wa kwanza tena wakiwa kwenye fomu kwelikweli karibia timu kubwa zote zilishindwa kuwafunga ila sisi tuliwatandika tena nyumbani kwao.Kama unadhani ni rahisi hivyo subiri muone kazi yao.
Kama nyie wanaume kweli basi wafungeni wolves.
Sawa ngoja tuwaone wanaume wa shoka nyumbu fc.Mzungo wa kwanza tena wakiwa kwenye fomu kwelikweli karibia timu kubwa zote zilishindwa kuwafunga ila sisi tuliwatandika tena nyumbani kwao.
Sasa leo wapo machinjioni unategemea tuwaache?
Jamaa nyeupe anaiitaga nyeupe, sio mnafiki


jamaa namuelewa sana, ni mashabiki wachache sana wa ASANI-ALI wenye caliber yake na ndio maana anapata tabu sana kwenye jukwaa lao.
jones yupoLeo magwaya hayupo afadhali
Hapo machinjio gani hapo ..watu wanakuja mpk wanawagonga goli 5 hapohapo ndo unapaita machinjioniMzungo wa kwanza tena wakiwa kwenye fomu kwelikweli karibia timu kubwa zote zilishindwa kuwafunga ila sisi tuliwatandika tena nyumbani kwao.
Sasa leo wapo machinjioni unategemea tuwaache?

Leo magwaya hayupo afadhali
Sijui kwa nini huyu bozo huwa ana nafasi ya kudumu kikosi cha kwanza? Sikumbuki ni mchezo upi ambao hajatoa boko msimu huu.Niliposikia Maguire hayupo nimefurahi sana lile shoga lakihindi kutowepo
Huyu somo mara ya mwisho kucheza game ya ushindani ilikuwa mwaka gani vile?jones yupo
kabla ya usajili wa bruno fernandez. Jones ana miaka miwili hajagusa uwanjaHuyu somo mara ya mwisho kucheza game ya ushindani ilikuwa mwaka gani vile?