Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,351
- 2,786
Sio wachezaji wote hawafai, baadhi ndo tatzo.
Wazee muwe mnaangalia game za bayern, man city na madrid utagundua wachezaji wao wako tayari kufa ili washinde match, wana commitment kubwa sn...bora tuanze kuamini vjana na uwape mindset mpya tusikariri hawa waliopo bora tuanze kujenga kikazi kingne.
NB: C.RONALDO yuko vzr sn thus why ana yellow card nne coz huwa anasaidia kukaba lkn kweny kushambulia hana wafuasi wakumsaidia kwa sababu kushambulia ni mfumo.