Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani Fred kaanza nje? Leo ndo mtajua umuhimu wake kwenye timu yenu licha ya ubovu lakin ni wa muhimu pale man u kwa wachezaji waliopo ngoja tuone itakuwaje
Mzee amefanya sawa Ronaldo na Cavani kua pamoja na DM Matic na MC ila hawa wawili wote hawana speed so katikati panaweza kua pazito.

Greenwood sidhani kama ana skills na pace za kumuweka pembeni hivyo natarajia upande wake kupwaya katika kushambulia na pressing.
 
Unaweza ukawa na mbinu nzuri, safi na bora zaidi
Lakin je hizo mbinu, unazitumia kwa watu wa aina gani


Magwaya, bisaka Shaw, Bailly


Lolote linaweza kutokea wakati wowote, tuwe watulivu tu
 
Hata Norwich tuliwaambia hivihivi
IMG_20211230_223712_728.JPG
 
huku kwetu kila mechi ya saa tano hivi karibuni lazima mvua inyeshe iniharibie mtandao nikiwa nna stream dadeki
 
Kama DMs ni hao na hawa Burnley wanacheza 4 katikati mbona kama mtatafutwa sana
 
Back
Top Bottom