Ni kawaida mwanafunzi kumzidi mwalimu kwenye maishaalaf ushangae uyo muuza bar n kocha bora kuliko uyo gegen. et muanzilishi wa gegen akat iliwashinda wa2 pale epl
Sent using motorola 78
Hata mimi napata wasiwasi kwamba huyu alikuwa mwalimu wa Tuchel.af kuna mtu atakuambia alikua mwalimu wa kloppmfumo umekaa kama bikiniView attachment 2060202
Sent using motorola 78
Alimuokota pia TT Bar ili amfundishe ukocha. Mashabiki wa Man u bhana
Tena nyumbu wangeweza kufa hata 3Tuchel vs Newcastle : 3-0
Klopp vs Newcastle: 3-1
Tuchel and klopp daddy: 1-1
Rashford ni project iliyofikia tamati.Tuna safari ndefu sana as a team
Huko academy kuna ma baller kibao, bado Amad hajapata nafasi kiihivyo kina Mcneill, Garnacho, Ennis, Elanga n.k halafu anauzwa bei kubwa kwelikids again, we have mejibri,gomes, garner, wote hawa wanakichafua I dont see this happening for sure
Aligomea mkataba, akauzwa moja kwa mojasio kwamba yupo kwa mkopo huko?
Tatizo la team linaanzia hapa malizia kichwa kikubwa MaguireHii double pivot ya Mc Fred imeloga aisee
Imagine team inategemea awe main striker wetu na ndio inamtegemeaIla rashford hana akili ya mpira kabisa
Kocha atalaumiwa bure, average players.Huyu kocha si ndio mtaalamu wa pressing duniani au nilisikia vibaya ndugu zangu wa Manyua
Sosha kapewa miaka 3, RR hata mwezi mmoja sidhani utakuwa na siku kadhaa tu.. mnamuonea bureTofauti y Ralf na Sosha ,ni miwani tu.
Hawa class of 90s wanapata popularity kwa kuongea hivo hawana la maana, hawana msaada mchizi wao Ole wamemtetea miaka mitatuWangeshinda haya yasingekuwepoView attachment 2060180
Cavani sema tu ni match 2 garage otherwise akistay fit huyu chalii ni kupeleka kwa mkopo hata ipswich town huko, trash kabisa" You either press or u don't, there is no such thing like a little bit of pressing. It's like being pregnant, you are either pregnant or not," RR
Vilevile mkiamua ku press, mnatakiwa kufanya ivo as a unit(kila mchezaji anatakiwa ku press). Ikitokea baadhi hawapress, mkishambuliwa mtakuwa outnumbered na pia wachezaji baadhi watakuwa out of position.
Tukubali tu kwamba wachezaji baadhi kama Ronaldo na Trashford hawawezi ku press. Kocha anapata shida kuwa accomodate kwenye philosophy yake.
Imagine mtu kama Trashford, attacking output na defensive output zote ni za hovyo, kwanini asim drop. Cavani na uzee ule lkn ana bado anapress,,, lkn huyu dogo anajikuta star wa team