Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Labda dressingHuyu kocha si ndio mtaalamu wa pressing duniani au nilisikia vibaya ndugu zangu wa Manyua
Labda dressingHuyu kocha si ndio mtaalamu wa pressing duniani au nilisikia vibaya ndugu zangu wa Manyua
Le capitaneeeeAlikuwa kwenye position ya Ku clear kosa La mwenzie
Huyu si ni professor?????Kitqkqchomponza huyu kocha ni kuendekeza wachezaji wale wale wa sosha kina tominay fred raahford nk kina van de beek wamekaa njee kina sancho
Shauri yenu.ukweli mchungu: Tusipokuwa na mpira Ronaldo ni liability. Timu inakosa balance kwa sababu ya huyuu mzee
Beki la dunia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Varane kazingua
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa atatoa wapi wachezaji au anatakiwa asajili timu nzima???
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Wiki nzima kabla ya christmas walikua wanashinda vilabuni halafu wanasingizia Corona mbwa hawa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pigaa nyumbu mpaka wabwekeee bweeeeeee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sijaangalia jinsi tulivyofungwa ila najua kosa litakuwa la Maguire.
Angalizo: Matusi na kejeli sio uungwanaKuna vinabo wawili wanaosababisha Man Utd isije na mpira muda mrefu namaanisha Mc Tominay na Rashid, hawa jamaa kila team inapokuwa na mpira lazima ipotelee kwao either kwa kutoa pasi zisizo na macho au kutuliza mpira hovyo.
Sasa kama kila muda team inakuwa na kazi ya kukaba ili kurudisha mipira inayopotea ambayo hâta hivyo hupotea kila inapopatiana, utaionaje kazi ya Ronaldo??
Team inapoteza sana mipira kwa upumbavu wa midfielders kwahiyo ni lazima umuone Ronaldo kama mzigo.
Kila siku nasema hili.Mmepigwa sana Maguire and Sancho are not worth the amount you paid to acquire their services
Huyu profesa????Mmmhh ila huyu kocha huyu.
Lawama zote kwa SoshaHii timu Sosha aliiharibu kwa kusajili waingereza wengi kwenye timu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tupo busy tunabana pumbu.
Mliwakamata?Acha wenge
Hao wamekimbia na baskeli ya barafu juani, tuta wakamata muda si mrefu.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Pombe gani za kulewa siku 3 au mnawanunulia Banana?Hivi wachezji wetu Christmas Walilewa? Mbona Wamechoka Sana
Uyo ni lwandamina mwembambaHuyu kocha si ndio mtaalamu wa pressing duniani au nilisikia vibaya ndugu zangu wa Manyua
Mnataka mdalasini, pilipili manga, bizari au hiliki??Nadhani tuweke mkozo wa kusajili kiungo dirisha dogo.
Nilipomskia Anajisifia tu nikaona zero apaSo Ralf kaiangalia Newcastle halafu akaona 'Yes we gon win via crosses nendeni mkapige krosi za kutosha' hamna kocha humu