Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Team yangu ningependa January inapo anza, watu kama magwaya,Fred,lindlof,varane,Anthony Masho,MC tomin, rashid na bissaka, tusiwe nao tuweka watu wapya wenye kasi na wenye uwezo wa kutoa pass za Uwakika hata 8kwenye10, bila ivo tutafukuza makocha kila msimu,
 
He he he he.... kwa huu uchezaji sitegemei lolote kwenye hii mechi.

Team kila ikipata mpira hakuna option yoyote ya kutoa pasi, wachezaji wote wamejificha katikati ya wachezaji wa team pinzani, yani huu upuuzi ndo waliokuwa wanafanya mazoezini kwa zaidi ya wiki mbili??

Nilikuwa na stream live, imenibidi niache maana napoteza bando langu tu.

Huu msimu tusipokuwa wa sita au saba
 
Tuna team ambayo kabla kocha hajawazia kuelekeza mbinu za kiuchezaji inabidi awafundishe namna ya kutuliza mipira na kutoa pasi zenye macho, ukizingatia hilo utagundua UTD ina takataka ambazo zilipaswa kuwa middle-table teams.

Upuuzi kabisa.
 
Back
Top Bottom