Kosi la shatiKosi la ushindi hili ila maguire ana dawa sio bure.View attachment 2059863
HahahaahahahaahhaLeo point 3 muhimu sana zinatuhusu
AhahahahahahahahaahahahahahahVARANE is back.
Ralf 😁😁😁😁😁😁😁😁😁The boys were fantastic 😅😅😅
Halima Gwaya kepteni wa kosi la duniaMaguire Tuuuze Jamanii eeeeh
Tumesema hatutaki matusi wala kejeli.Huyu ni wa kupigwa benchi tu, na dirisha dogo atolewe kwa mkopo aende akacheze hata ligi daraja la pili huko ngese kabisa hii uchochoro.
Shauri yenu bhanaaaaaaaaaKosa la Varane Maguire kafanya nini
AggghhhhrrrrrrIla rashford hana akili ya mpira kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha wenge
Hao wamekimbia na baskeli ya barafu juani, tuta wakamata muda si mrefu.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hizi kejeli ndio huwa hazitakiwiAnazingua kinoma. anacheza kama hana akili vilee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyuu Fred, kuna muda anakuwa takataka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wachezji wetu Christmas Walilewa? Mbona Wamechoka Sana