kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,024
- 15,804
scot na fred ni chupa na mfuniko, magwaya hatufai kabisa na bichwa lake kubwa, kazi kukaa na mpira utadhani liko peke yake uwanjani dakika ya 80, kila likipokea mpira linakaa nao then likipiga pasi ni kurudi kwa varane, magwya tulipigwa walah tena.


