Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20211024_221235.jpg
 
Kuna wanachezaji hawastahili kucheza United

Wan bisssaka

Magwaya

Lindelof

Mctominay

Rashford

Shaw

Fred

Hawa wote hawana hadhi ya kucheza United trust me sio kocha tu mtakuwa mnamwonea hao wachezaje ni averega players kabisa wanastahili kucheza norwish city au stoke city
Bisaka unamwonea aksee. Leo ndio kacheza vizuri kuliko mchezaji yeyote wa united.
Shida ni Ole hana mbinu.
 
Haya tuendelee tu kumpa muda,kila siku tunampa mtu muda tu mwishowe itafika kiama...
 
mwaka jana nyakati kama hizi tulikuwa na ndugu yetu anaitwa chelsea tuliyefanana naye mfano wa kurwa na doto. leo chelsea ametoka kubeba ubingwa wa ulaya, pia anaelekea kubeba ubingwa wa dunia kwa vilabu, si hivyo tu pia amejitambulisha kama ni mgombaniaji wa ubingwa wa uingereza.
 
Liverpool wametuheshimu sana baada ya kutupiga mkono walikuwa wanauwezo wa kutuchomoa kwenye kale ka bus uchwara tulikoweka na kutuchapa hata 8 baada ya pogba kupewa umeme kifupi hamna kocha hapa

Kadi ya pogba siwezi kumlaumu kocha bado anabeba lawama kwa ile sub ya kipuuzi ushaliwa nne kipind cha kwanza unataka nn kwa mtu alikuzidi kila kitu?

Mm ningetia bailly na dalot tu
eti ka bus uchwara
 
Back
Top Bottom