Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Roho mkononi ila tatu muhimu makosa yarekebishwe tuna watu wa kuweza kubadilisha matokeo hilo ni jambo kubwa kwetu
 
IMG_0494.jpg
 
Bado mzee timu haina Kocha Kabisa
Hovyo Sana
Ole analimited tactical ceiling ila haimfanyi kuwa kocha mbaya, Mistake aliyoifanya ni kucreate squad imbalance, thats Why mechi ya jana pogba was dropped, hata mechi ya liverpool ni fred na Mc tominay ndio wanaprobability kubwa ya kuanza, it is impossible to win the league with pogba and Ronaldo starting, im sure united will not extend pogba contract
 
Bruno inabidi awe anadrop chini kulink na kina McFred..Second half jana alifanya hivyo na balance ilipatikana.

Kwa kocha mwenye akili hiki kikosi kingepiga mpira mkubwa sana..
Kuwapishanisha na pogba ina maana sana kuna game pogba aanze bruno atokee bench au kutocheza kabisa ili pogba na DVB wacheze hapo anaweza kuwamudu
 
Kuwapishanisha na pogba ina maana sana kuna game pogba aanze bruno atokee bench au kutocheza kabisa ili pogba na DVB wacheze hapo anaweza kuwamudu
Pia tujaribu na Fred Vdb na Fernandes.. Fred hachoki na kupotea mapema kama McTominay..tujaribu hii combination maybe inaweza kuleta matokeo chanya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna mtu wa mpira atamponda Bruno huyo ataongozwa na chuki ila kajamaa kwenye kutengeneza nafasi za kufunga yupo mbali sana tena sana ana takwimu za hatari sana ni vile hii timu haibebi makombe na kutokuwa na kiwango komavu vinginevyo ule ni msala.
 
Back
Top Bottom