Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Hii fixture kiboko...inabidi tujipange..
Hii fixture kiboko...inabidi tujipange..
Bado hajafukuzwa tu
Kwenye hizo game 11 shetani mwekundu akikaza Sana anaweza kushinda nne kwa kubebwa, nyumbu mwekundu huyu huyu anayemtegemea yule mzee wa kireno pale mbele Mpira umguse afunge 😂😂🤣🤣🤓🤓
Kiwango chako cha kujielewa ni kidogo sana.Kwenye hizo game 11 shetani mwekundu akikaza Sana anaweza kushinda nne kwa kubebwa, nyumbu mwekundu huyu huyu anayemtegemea yule mzee wa kireno pale mbele Mpira umguse afunge 😂😂🤣🤣🤓🤓
Nan aogope mzeeHaters wameongezeka sana kipindi hiki.
Na sababu ni moja tuu, wanajua tuna Timu nzuri, hivyo wanaOGOPA.
Lukaku alitaka kuondoka United baada ya OGS kuanza kumpiga benchi baadae kumchezesha pembeni na kuwapa nafasi zaidi Martial na Rashford kucheza kama katikati,baada ya kumuondoa tatizo halikuisha ikambidi OGS kuwanunua Ighalo,Cavani .Moja kati maamuz mazuri( kwa Club na Lukaku mwenyewe) , OLE aliwahi fanya nikumruhusu Lukaku kuondoka Man U.
Tatizo binadamu ni wasaulifu sna.
Cristiano Ronaldo, Bruno Fernandes, Raphaël Varane and Edinson Cavani arriving at the Lowry hotel this evening
manutd |
#GGMUView attachment 1951488View attachment 1951489View attachment 1951490
Kocha uwezo wake mdogo lakini Villa anafungwa si chini ya goli mbili GGMU
Saa 11 jioni saa za Afrika MasharikiSaa ngapi?
Sio saa nane na nusu? Ratiba ilibadirika?Saa 11 jioni saa za Afrika Mashariki
Wewe na Chelsea yupi mwenye team nzuri? au wewe na man city Nani kwenye team nzuri? Asimilia kubwa ya mashabiki hawaipendi man u kwa sababu ya mdomo wenu a.k.a wapiga makelele sio tofauti na hapo.Haters wameongezeka sana kipindi hiki.
Na sababu ni moja tuu, wanajua tuna Timu nzuri, hivyo wanaOGOPA.
Labda Derby ya kariakooSaa 11 jioni saa za Afrika Mashariki
Wiki hii sikuombei njaa nnachotaka mtu apigwe palepale darajani. Pep anafungwaga na Ole tu hao wengine inabidi waadhibiwe.Nan aogope mzee
Mashabiki wa United inabidi tu tuukubali ukweli kwamba Ole hawezi kufukuzwa na atamaliza msimu sasa badala ya kuongelea hizi habari zake ni heri tu kufurahia pale tutakaposhinda na tukifungwa basi tuvumilie tu.Najaribu kufanya stress testing ktk kikosi chetu, Je Ole ana mbinu mbadala ya kucheza bila Ronaldo, Bruno, Pogba na Greenwood endapo watapata majereha au kadi nyekundu?
Ule mchezo wa juzi dhidi ya Westham umeonyesha waziwazi jinsi kikosi B kinavyocheza ni sawa sawa na jinsi kikosi A kinavyocheza utofauti wake ni kikosi A kina wachezaji wanaoweza kuamua mchezo wenyewe kwa uwezo wao.
Hofu yangu ni kwamba huwezi kushinda kombe kama timu haiwezi kupata ushindi bila key players. Ole tunapoteza muda, watu wanaomtetea naamini tutaongea lugha moja siku si nyingi sana.