Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tunaanza lini kujadili sajili zilizofanywa na ole gunnar solskjaer.
  1. daniel james
  2. harry maguire
  3. wan bissaka
  4. donny van de beek
  5. bruno fernandez
Binafsi naona kumuuza Daniel James kumeondoa kitu fulani kikosini kwetu
 
ameyataka mwenyewe, muda mwingi alitegemea miujiza ya bruno fernandez tokea alipomsajili
Tatizo la ushindi wa timu yetu kuwategemea baadhi ya nyota wameamkaje lilionekana mapema likasemwa ila kuna watu wakadai tumpe credit kama ambavyo tunamponda siku timu ikifanya vibaya.

The writting was on a wall for this down fall
 
Kwa yeyote atakayewahi kuona habari mvunjiko kuhusu kutumbuliwa kwa bwana Ole,tafadhali anitag labda usingizi utakuja.
 
Nimetembelea page ya espnfc kule insta nimekuta video fans wanaimba ole at the wheel


Hakuna kitu kibaya kama wachezaji kuonyesha waziwazi hawakutaki....kila mechi watakufungisha tu
 
Liverpool wametuheshimu sana baada ya kutupiga mkono walikuwa wanauwezo wa kutuchomoa kwenye kale ka bus uchwara tulikoweka na kutuchapa hata 8 baada ya pogba kupewa umeme kifupi hamna kocha hapa

Kadi ya pogba siwezi kumlaumu kocha bado anabeba lawama kwa ile sub ya kipuuzi ushaliwa nne kipind cha kwanza unataka nn kwa mtu alikuzidi kila kitu?

Mm ningetia bailly na dalot tu
Mkuu Hujambo lakini
 
ʷʰᵉʳᵉ ʷʰᵉʳᵉ ʷʰᵉʳᵉ
ʷʰᵉʳᵉ ʷʰᵉʳᵉ

ʷʰᵉʳᵉ is Penaldo? ʷʰᵉʳᵉ

ʷʰᵉʳᵉ ʷʰᵉʳᵉ
ʷʰᵉʳᵉ ʷʰᵉʳᵉ ʷʰᵉʳᵉ
 
Back
Top Bottom