Pole mkuu...jikaze tuSijui kwanini naofu sana na game ya leo yani nikiiwaza tu moyo unaenda kasi sana yani.
Mkuu nimechka mnoo...eti ukun uliopo darin inamcheka uliopo jikonArsenal kushinda vimechi mfululizo tayari mmeshajiona title contenders, unapata wapi ujasiri wa kuja kutoa ushauri hapa ? Ni sawa na ukuni uliopo darini unamcheka mwenzie jikoni !
Hahaha mamaeeee“JANA SI CHELSEA ALISHINDA 7?
NA SISI TUNARUDISHA MAJIBU, WASITUZIDI SANA KWENYE GD”
Alisikika shabiki mmoja asie na huruma!![]()
Embarrassing!
HahahahahAisee man u inamashabiki wengi, yaani kibanda umiza kimebaki cheupeeeeee