Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bila mmasai ole sendeka kufurushwa
Tusahau kabisa kuhusu

Top four epl na ucl tutatolewa soon baada ya kuvuka hatua ya makundi.
 
Next fixture epl ...

Vs Spurs

Vs man city

Unahisi mpaka hizo game united atakuwa nafasi ya ngapi epl ....

Na atatumia muda gani kufika top 4 Tena ....
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu.. Ronaldo n mzigo aiseee.. buy ya Ronaldo haikutakiwa... Nazid kurudia kama Klopp alipewa muda why not Ole?
 
Nyie ni matakataka tena ya kufungwa jiwe na kutupwa baharini hamna maana kabisa.
Nyie matakataka Jana nimewashabikia kumbe hambebeki nyie ni timu iliyooza.
Sasa kila mtu ashinde mechi zake tusijuane tena ..
Ninyi ni manyumbu na unyumbu utabaki milele kwenye vichwa vyenu pamoja na kocha wenu Olesendeka japo tuendelee kumpa muda kidogo maana anaupiga mwingi sana.
Mnabamizwa tena mbele ya CR7 bao tano bila Degea ni zaidi ya Shati.
Rudisheni Rio Ferdinand, Garry Neville, na Van De Saa mnaweza kupata hata draw.
Kila la kheri Olesendeka.
 
Kumbe we KAHABA ndie ulietuletea nuksi toka lin we NGURUWE ukashabikia MAN UTD?
GGMU OLE OUT.
 
Bado kuna dogo wa kuitwa Brentford!!!
Huyu lazima awapakie mkongo
IMG_0900.png
 
Nyie ni matakataka tena ya kufungwa jiwe na kutupwa baharini hamna maana kabisa.
Nyie matakataka Jana nimewashabikia kumbe hambebeki nyie ni timu iliyooza.
Sasa kila mtu ashinde mechi zake tusijuane tena ..
Ninyi ni manyumbu na unyumbu utabaki milele kwenye vichwa vyenu pamoja na kocha wenu Olesendeka japo tuendelee kumpa muda kidogo maana anaupiga mwingi sana.
Mnabamizwa tena mbele ya CR7 bao tano bila Degea ni zaidi ya Shati.
Rudisheni Rio Ferdinand, Garry Neville, na Van De Saa mnaweza kupata hata draw.
Kila la kheri Olesendeka.
Unaona mbali sana kaka tumpe mda, yeye siye wa kwanza kupigwa tano, hata babu alipigwa sita na City OT, wampe muda ili tufurahi wote.
 
Tufike mahali tudadavue tatizo liko wapi? Wengi ni kulaumulaumu tu hakuna ujuzi wa kutambua shida iko wapi.

Kipindi cha kwanza nafasi za kufunga za Manutd zilikuwa nyingi kama za Liverpool lakini ukabaji wa Liverpool ni bora kuliko wa Manutd na pia umaliziaji uligoma leo.

Kushinda hii ligi, inabidi Solksier apunguze striker mmoja wabaki wawili kwa sababu left na right backs wanaweza kushambulia.

Jawabu ni kumchezesha Dalot amsaidie Luke Shaw upande wa kushoto na kumweka bench Rashford.

Mabao yote yamepitia kwa Luke Shaw kwa sababu Luke Shaw anapenda kucheza kama Central Midfielder wakati ni left back

Hii inamaanisha Manutd hujikuta na three central defenders na inapungukiwa na left back na hapo Atalanta na Liverpool wameliona hilo na nina uhakika Spurs na Manchester City wameliona.

Ukiona Dalot hajapangwa next mechi ujue fika Manutd watafungwa kupitia left back. Mipira itaelekezwa upande wa left back na Luke Shaw ataendelea kugongana na Maguire na pasi zitapelekwa left back Luke Shaw atakuwa hayupo bao litafungwa.

Leo angepanga five defenders Liverpool hata bao moja asingelipata na angefungwa.

Kikosi cha ushindi

Left back Dalot, right back Wan Bissaka na three central defenders yaani Luke Shaw, Maguire na Lindelof.

Kati Fred, McTominay na Fernández

Washambuliaji CR7 na Greenwood.

Pogba auzwe desemba hii anawavunja moyo wenzie. Ukiona timu kubwa inamwendekeza mchezaji ambaye hataki kuongeza mkataba ndani ya miaka miwili kabla ya mkataba kwisha huyo hana mapenzi na timu. Hivyo, kumuuza tu hata kwa dau la kutupa.

Pogba mkakati wake ni kuacha mkataba uishe halafu ajiunge na aidha Real Madrid au PSG na dau la usajili apewe yeye badala ya Manutd. Inasemekana atalipwa £25MILL akijiunga na PSG kama mchezaji huria.

Pogba kiwango kimeshuka kwa sababu yuko kibiashara zaidi kulikoni kiuchezaji.
Pogba kiwango kimeshuka au anafanya makusudi kucheza kawaida.Kuna mechi anakaza nyingine anacheza bora liende.Ila hili inategemea na uwezo wa kocha anakimudu vip kikosi chake.uchezaji mbovu wa timu na nidhamu mbovu ya wachezaji wakulaumiwa ni kocha.Ole Man U ni kubwa kuliko uwezo wake.Msimu huu ligi ni ngumu zaidi kuliko msimu uliopita kwahiyo kama bado atakuwepo Man U hajipange sawasawa.
 
Back
Top Bottom