FredLeo nani anabeba lawama ?
Huyu Ana mkataba wa maisha kufundisha manyumbu wekundu 🤪🤪🤪Ole anafukuzwa lini
Wazee huu mchezo hautaki hasiraMtoto msenge yule
Dah irudiweeKichwa cha ole ni sawa na tikitiki kubwaaaaaaaa lenye mbegu moja tena mbichi ila limeiva.
Mmma zake
Conte inOle out...Zidane in.
DarmianMkuu man united vs Everton haijawahi kuwa easy fixture toka kipindi cha Ferguson.
Hawa Everton hata kama wako hali mbaya kiasi gani wakikutana na united ni kama derby.
Tusitegemee mteremko kwa Everton, binafsi game ya Everton huwa sitegemei kushinda cause everton ni part ya Liverpool hivyo rivalry na united ni ile ile.
Vipi tumewafunga ?Tutawafunga goli 3 kwa 1. Cristiano na Mason watafunga.