Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu man united vs Everton haijawahi kuwa easy fixture toka kipindi cha Ferguson.

Hawa Everton hata kama wako hali mbaya kiasi gani wakikutana na united ni kama derby.

Tusitegemee mteremko kwa Everton, binafsi game ya Everton huwa sitegemei kushinda cause everton ni part ya Liverpool hivyo rivalry na united ni ile ile.
Tutawafunga goli 3 kwa 1. Cristiano na Mason watafunga.
 
Wadau wa Manchester United,hili suala la kukosa clean sheet karibia mechi zote tulizocheza linasababishwa na ubovu wa wachezaji wa United kwenye kuzuia au mfumo ( kocha) kwenye suala husika?
Yaani siku hizi kila mechi unatarajia kufungwa walau goli na ndio imekuwa kama utambulisho wetu halafu tunajisifia kuwa ni kings of comeback!
Kuna wakati huwa namuonea huruma De Gea hadi natamani tuwe tunapata droo za 0-0 kuliko kushinda 3-1.
 
Mkuu draw na ushindi bora draw? Ingekuwa master of clean sheets anapewa kombe sawa.
 
MANJESTA LEO ANAKUFA MAPEMA SANA ,, KWA SPEED YA EVERTON PEPO MWEKUNDU HANA LAKE,, YULE MZEE WA KIRENO PALE MBELE, Na hii SPEED YA 4G YA EVERON SITAPI PICHA ATAKAVYOTOA ULIMI NJE YULE MZEE WA KIRENO ..
 
Leo yupo El Matador, sema kingine.
 
MANJESTA LEO ANAKUFA MAPEMA SANA ,, KWA SPEED YA EVERTON PEPO MWEKUNDU HANA LAKE,, YULE MZEE WA KIRENO PALE MBELE, Na hii SPEED YA 4G YA EVERON SITAPI PICHA ATAKAVYOTOA ULIMI NJE YULE MZEE WA KIRENO ..
Ronaldo anaazia bench.
 
pain

20211002_134452.jpg
 
Kafanya rotation nzuri,, cr7 alihitaji kupumzika, pengine apewe dkk 20 za mwisho,,,z

Kwa umri wake sio vyema kumfanya regular kila week,,,! Tukumbuke mechi ya Uefa katikati ya wiki alicheza

#GGMU
 
Kwanini asianze alafu tukishapata matokeo ndo atoke? Huoni ni risk sana kumuingiza timu ikishazidiwa anakua under pressure
 
Back
Top Bottom