Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu man united vs Everton haijawahi kuwa easy fixture toka kipindi cha Ferguson.

Hawa Everton hata kama wako hali mbaya kiasi gani wakikutana na united ni kama derby.

Tusitegemee mteremko kwa Everton, binafsi game ya Everton huwa sitegemei kushinda cause everton ni part ya Liverpool hivyo rivalry na united ni ile ile.
Upo sahihi sana.
 
..
IMG_20211002_182118.jpg
 
Unakutana na timu ambayo imepumzika wiki nzima wewe umecheza jumatano halafu unapangiwa fixture ya saa sita mchana.

FA ni mavi
Jombaa ukiwaweka kando FA, unafikiri huu mchezo tumedondosha alama kwa sbb ya uchovu? Aaron Bissaka, Fred, Cavani, Martial, Shaw wote hawakutumika sana kati kati ya wiki na leo wameanza. Pia benchi yupo Van de Beek, Lingard, Bailly na Dean Henderson.

Ratiba za FA miaka yote zipo hivi hivi hazijawahi kubadilika. Tarehe 19 mwezi uliopita tulicheza na Westham waliotoka kucheza mchezo wao europa mji wa Zagreb, Croatia na Dinamo tarehe 16 usiku. Wakasafiri kurudi London tarehe 17 wali-train siku moja tu tarehe 18.
 
itakuwa ni jicho la kucheza mpira kukamilisha ratiba ...

Kama ni kutaka epl au CL ,niseme tu mkuu huna akili na hujitambui ....
Wewe mshabiki Maandazi wazo lako ni kuchukua ubingwa tu... kule wenzio Timu at least iingie top 4 na kwenye CL ifike angalau robo ubingwa unatokea inapobidi.
 
Tukisema kikosi Bora we mean total performance of whole team ,, hii timu inacheza kiwango Cha chini Sana ,, check villareal ilivyomtoa jasho pepo mwekundu..
Ndiomw nikasem tatz kocha wao ni average sana yan io average tu ni average sana...ndo maana wasitegemee maajab yoyote ndo km ivi draw leo..n next t fixtures za man u Ole asipofukuzwa me sijui tu
 
Sema Ole ana kitu special na ataijenga Man U vizuri sana na hakuna timu itatamani kukutana na Manchester hasa kwa ubora ambao itakuwa nao

Tuendelee kumpa muda Ole, vitu vizuri havitaki haraka
tumpe muda gan.. tena
 
Wewe mshabiki Maandazi wazo lako ni kuchukua ubingwa tu... kule wenzio Timu at least iingie top 4 na kwenye CL ifike angalau robo ubingwa unatokea inapobidi.
Etiii ubingwa unatokea inapobidi sio


Imebidi nicheke tu
 
Sema Ole ana kitu special na ataijenga Man U vizuri sana na hakuna timu itatamani kukutana na Manchester hasa kwa ubora ambao itakuwa nao

Tuendelee kumpa muda Ole, vitu vizuri havitaki haraka
Jaman anajenga timu kwa wachezaji wenye miaka 34 na 36 hao s wastaafu mkuu sema anajaribu hapo nitakuelewa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Chief Mkwawa na Mwanasport wanakuja kwa mapanga na marungu kwa sababu unawaponda makocha wao bora kabisa tangu Man Utd iundwe

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Huyu mwanasport mshamba kinoma..juzi kaniqoute hapa ananiita mimi mpumbavu kisa tu nimesema Ole ni kichwa maji.

Haiwezekani timu ina talent kibao lakini tunacheza cheza tu ilimradi.
 
Back
Top Bottom