Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Unataka awakasirishe kina Ronaldo hawezi fanya hivo.Kama sio majeruhi kama watangazaji wanavyojaribu kuhisi,martial hakutakiwa kutoka ili sancho aingie.
Hata Cavan sioni ni kwanini atolewe timum ikiwa kwenye rythm nzuri kama ile.
Anyway,Ole ndie anajua kwanini kafanya alichofanya.


