Martial wanini tena mkuu, hizi hujuma za wazi wazi.Subiri rash arudi mkuu,
Saiv akicheza kulia inalazimisha martial kucheza kushoto na Greenwood kuwa nje.
Ukipiga hesabu zako mwenyewe utaona ni bora acheze kushoto greenwood kulia ( kuliko kuanza na Tony)
Hahahaha...Martial wanini tena mkuu, hizi hujuma za wazi wazi.
Kweli kabisa bora asicheze kabisa, mana kama hachezi kipindi hiki Trashford mgonjwa, akirudi ndo itabidi ajipeleke Arsenal mwenyewe.Hahahaha...
Wenyewe wanakanyimbo kao "......Tony Martial scores again....."
Kuliko martial kucheza kushoto ni bora Sancho akae huko huko.
Au we unaona kuna option nyingine mkuu?
Arsenal Wanapenda mizoga sijui wana shida gani.Kweli kabisa bora asicheze kabisa, mana kama hachezi kipindi hiki Trashford mgonjwa, akirudi ndo itabidi ajipeleke Arsenal mwenyewe.
Jana kuna mpira Ronaldo alishindwa kuufata ila Cavani akamkuta mchezaji wa Villarreal na akauchukua. Cavani anapaswa kuanza kikosi cha kwanza acheze angalau dk 60.Yaan nataman Sosha angekuwa anampa game time Cavan, jamaa huwa anapambana sana tofauti na watoto wengi mabishoo pale mbele lakini huyu kocha wetu alivyo boya next mechi anajaribu kikosi kingine
Mkuu man united vs Everton haijawahi kuwa easy fixture toka kipindi cha Ferguson.Everton hii sio ya kutusumbua Old Trafford..nategea easy game kesho.
Tunaweza kushinda japo mimi si muamini Ole kabisaEverton hii sio ya kutusumbua Old Trafford..nategea easy game kesho.
Huyu Husseni bolt hajawekeza kweli pale? Mana ana mahaba kwelikweli na hii timu.Hussein Bolt na Best midfielder in the world View attachment 1958874
MANJESTA ANAKUFA KIFO KIBAYA KESHO, PEPO MWE KUNDU HANA UBAVU MBELE YA WANYAMA WAKALI EVERTON MUDA NI HAKIMU..





Hivi ni Ole pekee au akijtateuliwa na akakosa mafanikio utaendeleza huu huu msimamo?Bado hajafukuzwa tu
Hivi ni Ole pekee au akijtateuliwa mwingine na akakosa mafanikio utaendeleza huu huu msimamo?Bado hajafukuzwa tu