Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,310
- 46,806
Carrick,Phelan na McKenna wanaonekana pia hakuna wanachoongeza kumsaidia Ole ambaye bado hii kazi ya kuwa kocha wa hii klabu ni kubwa kwake..Ole hana coaching Staff nzuri
Carrick,Phelan na McKenna wanaonekana pia hakuna wanachoongeza kumsaidia Ole ambaye bado hii kazi ya kuwa kocha wa hii klabu ni kubwa kwake..Ole hana coaching Staff nzuri
Mike Phelan ni assistant Manager.Carrick,Phelan na McKenna wanaonekana pia hakuna wanachoongeza kumsaidia Ole ambaye bado hii kazi ya kuwa kocha wa hii klabu ni kubwa kwake..
Sent using Jamii Forums mobile app
I have lost faith in Solkjaer
Inaamana Ole ni Lampard aliyechangamka[emoji848][emoji2960]Carrick,Phelan na McKenna wanaonekana pia hakuna wanachoongeza kumsaidia Ole ambaye bado hii kazi ya kuwa kocha wa hii klabu ni kubwa kwake..
Lampard ana afadhali.Inaamana Ole ni Lampard aliyechangamka[emoji848][emoji2960]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
I have lost faith in Solkjaer
Usijaribu mfananishq King Lampard na hili takataka la old Trafford olesendeka. Ni dhambi kubwa sana mkuuInaamana Ole ni Lampard aliyechangamka[emoji848][emoji2960]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Usijaribu mfananishq King Lampard na hili takataka la old Trafford olesendeka. Ni dhambi kubwa sana mkuuInaamana Ole ni Lampard aliyechangamka[emoji848][emoji2960]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mmmhhh! Taratiiibu unaelekea upande wa "bora aondoke"Nilikuwa upande wa Ole, saiv nipo katikati hata akiondoka sawa akibaki sawa.
Hizo points mbili zilizopotea leo kizembe tutazirudishaje?Kuweni na shukrani nyie mashabiki, anaeongoza ligi ana points 16 nyie mna 14 yaani tofauti ya 2 points ndio kelele hivi?
Mkimkamata chelsea mumpige hadi achakaeHizo points mbili zilizopotea leo kizembe tutazirudishaje?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]ronaldo uyu[emoji74][emoji74]View attachment 1960340