Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Ana injuryDarmian magwaya yuko wap mkuuu angekuwepo hapo gol lisingerudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana injuryDarmian magwaya yuko wap mkuuu angekuwepo hapo gol lisingerudi
Huyo mie namkubali ila wengine hovyo bisaka first half kacheza vizr second kazingua
Haswaa mkuu.Unataka awakasirishe kina Ronaldo hawezi fanya hivo.
Mmmh huo mwili Kama mti mkavu...ARV tumemis screenshot za live score mkuu View attachment 1960337
Kuwa mvumilivu mkuu. Watu tunhekuwa kama wewe unadhani AC Milan ingekuwa na washabiki mpaka sasa!!! Thubutu.Leo napumzika kuliangalia Chama la wana Rasmi
Ole anatupotezea muda kadri wanavyoendelea kumuacha ndivyo tunavyozidi kupoteza nafasi ya ubingwa msimu huu.Haswaa mkuu.
Mwanzoni Cavan alikuwa anapumzishwa mechi nyingi sana sababu ya umri wake (34) ila sasa kaja Ronaldo (36) anacheza game karibia zote kila wiki.
Impact ya Sancho kwenye timu haionekani lakini dogo anapata game time kila wiki ila tunaambiwa Donny bado hajamshawishi mwalimu kumpa nafasi.
Mtoto msenge yuleKulikuwa na ulazima gani kumuacha Greenwood amalize dkk 90