Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pale baada ya red pia angeweza kumtoa vdb aingie Greenwood, pia angemtoa bruno/pogba aingie Varane zen tungecheza hata 4-4-1 mana CR7 kule mbele aliwaweza, lahaulaaa kocha akamtoa na CR7 mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ole hamna kocha pale, ukiona tumeshinda basi jua wachezaji wamejituma kivyaao tu na siyo uwezo wa ole. Ila chakushangaza uongozi wamempa mkataba mpya wa miaka 3 zaidi kuonyesha kwamba wanaimani naye sana.

It's a shame kuiona man UTD inawekeza kwa kocha kama ole ambaye Hana any trophy, hajui kufundisha timu anachojua yeye ni kupanga Koni wakati wa mazoezi tu.
Kweli Ze dudu atakuwa hashangilii sana akicheka kinafki hivi kama Manara siku ile wananchi walivyotandikwa siku yao ya kuzaliwa[emoji848]

Nawaza tu kwa jicho la 3 [emoji87]
 
Sijawahi kuona kocha muoga kama sosha, una kikosi kipana, mechi ya watoto kama hii anapotoka mchezaji kwa kadi nyekundu wewe tia kuni, nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood lkn yeye akatoa kiungo ameweka beki mana ake anawaogopa hawa watoto wadogo licha ya kuwa na kikosi kipana, sio kocha c lolote mbwa huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"Sio kocha c lolote mbwa huyu"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ole hamna kocha pale, ukiona tumeshinda basi jua wachezaji wamejituma kivyaao tu na siyo uwezo wa ole. Ila chakushangaza uongozi wamempa mkataba mpya wa miaka 3 zaidi kuonyesha kwamba wanaimani naye sana.

It's a shame kuiona man UTD inawekeza kwa kocha kama ole ambaye Hana any trophy, hajui kufundisha timu anachojua yeye ni kupanga Koni wakati wa mazoezi tu.
Hahaaa, eti kupanga koni!
 
Mwanitesa utd Vip Babu alikuwepo uwanjani leo nacheka saaaaana ha ha ha hahaha....
 
Back
Top Bottom