Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani nimewakosea nini wajumbe?
IMG_0229.jpg
 
Timu kubwa kama Utd ina wachezaji wa gharama kubwa inapocheza na timu ndogo hata mchezaji akitolewa kwa red card co issue, inabd kutulia na kumiliki mpira, pale nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood tucheze 3-51 mana hawa ni watoto, unaenda unatoa forward unaingiza kiungo, baadaye unatoa kiungo unaingiza forward hivi anajitambua kweli huyu?
 
Nadhani una hasira tu mkuu, mambo hayapo hivyo.
 
Nimefurahi sana huyu msenge kufungwa leo, ni moja kati ya makocha wasenge dunia haijawahi kushuhudia.
Kuna mshabik m1 wa Man U nilimwambia juzi team mnayo lkn kwa kocha huyu msahau kuArchive vitu vya msingi maana hajui analofny yan yupo tu..kwa kikosi ambacho man anacho sio cha kuretreat kucheza kwa uwoga hata kama Bissaka katoka..

Yann ole khs abt tactics yy bado ni premature kbs na katk decisions za muhm when it matters most anafail miserably hapo ndo yy wanatofautiana na kina Pep,Tuchel na klopp..hapo ndo maana man kubeba ligi atasbr had apate kocha ambae ana akil timamu kutumia resources nyng alizonazo.

Watatez wa Ole watasema mda bd ligi ndo zimeanza lkn ukwl ni kwmb in Ole hakuna kocha wa kusema utambetia kwny makombe ya muhm yan hakuna ni vile tu ni mtt wa home anakubalika na kina Fergie lkn angekua ashaondoka.
 
Timu kubwa kama Utd ina wachezaji wa gharama kubwa inapocheza na timu ndogo hata mchezaji akitolewa kwa red card co issue, inabd kutulia na kumiliki mpira, pale nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood tucheze 3-51 mana hawa ni watoto, unaenda unatoa forward unaingiza kiungo, baadaye unatoa kiungo unaingiza forward hivi anajitambua kweli huyu?
Game aliifanya ngumu
 
Kuna mshabik m1 wa Man U nilimwambia juzi team mnayo lkn kwa kocha huyu msahau kuArchive vitu vya msingi maana hajui analofny yan yupo tu..kwa kikosi ambacho man anacho sio cha kuretreat kucheza kwa uwoga hata kama Bissaka katoka..

Yann ole khs abt tactics yy bado ni premature kbs na katk decisions za muhm when it matters most anafail miserably hapo ndo yy wanatofautiana na kina Pep,Tuchel na klopp..hapo ndo maana man kubeba ligi atasbr had apate kocha ambae ana akil timamu kutumia resources nyng alizonazo.

Watatez wa Ole watasema mda bd ligi ndo zimeanza lkn ukwl ni kwmb in Ole hakuna kocha wa kusema utambetia kwny makombe ya muhm yan hakuna ni vile tu ni mtt wa home anakubalika na kina Fergie lkn angekua ashaondoka.
Ole hamna kocha pale, ukiona tumeshinda basi jua wachezaji wamejituma kivyaao tu na siyo uwezo wa ole. Ila chakushangaza uongozi wamempa mkataba mpya wa miaka 3 zaidi kuonyesha kwamba wanaimani naye sana.

It's a shame kuiona man UTD inawekeza kwa kocha kama ole ambaye Hana any trophy, hajui kufundisha timu anachojua yeye ni kupanga Koni wakati wa mazoezi tu.
 
Back
Top Bottom