Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bora tumemkosa, hata mimi mwanzo nilikuwa natamani aje OT ila ukiangalia uhalisia angekuja kwenye timu yetu yeye ndiyo angekuwa mfalme pale na ingeleta shida kuja kumpata mchezaji wa level zake ili asijione yeye ndiyo yeye katika timu. Ni kama ishu ya Pogba mwanzo alitusumbua sana ila kwa ujio wa Bruno imesaidia kumuweka sawa na kutokujiona yupo juu ya klabu.

Messi ni mchezaji mkubwa sana kucheza kwenye timu yetu hii, ni lazima ukubali hili. Timu anayoenda anakutana na World class players karibia kikosi kizima, the likes of Neymar (ana rekodi yake matata) Mbappe, Ramos. Huko kunamfaa zaidi au timu nyingine ni Man. City (nimefurahi wamemkosa).
Mm nilichofurahi ni ameondoka Barca mana ulikuwa ni upumbavu sasa, Messi Messi Messi, yn mchezaji anakuwaje mkubwa kuliko klabu? Tena iliyomlea? Mnamtukuza kiasi hicho akifa? Au akistaafu? Yani ilikuwa ni upumbavu uliokuwa ukinikera sana.
 
Wakati ni huu
PSX_20210814_200124.jpg
 
Back
Top Bottom