Avatar yako umenikumbusha dogo mmoja aliwahi kusoma pale SENGEREMA HIGH SCHOOL.Hahahahahaaa huu uzi umegeuka kuwa sehemu ya kipozeo
Kafanyaje?Doooh..Martial vipi tena..
Anyway GGMU.
Karudi tena na mfumo Wa double DM.3 POINTS!#GGMUView attachment 1891945
Ana corona huyoLingard hata bechi hayupo hapo Rashford na Cavani hawajafika. Huyu dogo angeuzwa tu. Tunaua talent yake.
James atolewe kwa mkopo, bado sana kupata namba huyu mtoto, nashangaa taarifa za juzi eti Ole anamtoa kwa mkopo Amad, anamuacha James, hata Pellistri ni mara 2 ya James basi tuJames bado hajui anachokifanya anakimbia tu, Pogba nae mambo mengi sana anapoteza mipira ingawa katoa assist kali sana.
Mechi nzuri battle ya midfield refa kaacha wauwane inapendeza.
Lingard alikuwa isolated kwa sababu ya corona chiefLingard hata bechi hayupo hapo Rashford na Cavani hawajafika. Huyu dogo angeuzwa tu. Tunaua talent yake.