Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Marcedes Benz.Ndinga gani hii....
Marcedes Benz.Ndinga gani hii....
Hiyo ni Benz.Inaonekana kama Porsche Cayenne
4th goal. Bruno FView attachment 1892106
Kweli, nimeona. Ni GLS. Aisee ina interior design kama ya Porsche Cayenne, haswa hizo wings kwenye maeneo ya gear knob.Hiyo ni Benz.
Niliwamiss sana Singasinga wa OT.wamerudi tena
View attachment 1892164
Sahihi kabisa, now ni muda wa Mason kupewa more playing minutes uku akisaidiana na Cavan, is our futureMimi nadhani tumuamini tu Mason hapo mbele na cavani akirudi wanatosha labda huyo middle mmoja basi ila striker tuachane nao kwa sasa tupate middle defensive tutulie. Tusipomuamini Mason tutamuamini lini?? Mpaka afike 25.
Mkuu ngoja tufurahie wakati nafasi inaruhusu,huwezijua ya kesho na ole wetuDuuh! mechi moja tu,tayari umejihakikishia ubingwa msimu huu.
Una pointi zetu sita wewe na vile vi udagaa dagaa vyako!Wazee wa mbeleko
Nyoka mwenye makengezaa anasema tumsajiri Lambert, tuuze pogba![]()


jamaa staili yake inafurahishaUmetoka kifungoni, hata kwenu haukufika umekimbilia maskani kuvuta bange, ukikamatwa tena utasema mikosi ama vipi?Wazee wa mbeleko