Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Corentin Tolisso- Amazing skills 2021.
Corentin Tolisso- Amazing skills 2021.
Ishu ya jersey huwa kuna porojo nyingi sana.Hivi kweli Messi ndio tumeshindwa kumpata..
Tungempata mauzo ya Jersey tu yalitosha kulipa mshahara wake vizuri tu.
CDM siyo Central midfielder kwa maana ya kuwa box to box.CM ni mediflder aina gani mkuu?
CM ni centre mediflder.
Maana hata CDM au attacking mediflder wote ni central mediflder.
Sasa ulimaanisha CM ni nn?
Wewe tutajie hao uliowaona.Duniani cdm ni camavinga tu? Nimekwambiya Brazil,Russia,, Argentina kuna watu wana balaa,
Lakini hawajapewa nafasi ya kutafutwa.
Na kuonyesha uwezo wao, tena so cheap.
Kwani kazi ya man u scouts ni nn? Au mchezaji hadi aonekane kwenye league 1,au premiere league, au laliga? Au bundersiliga?
Sure, though ni mfungaji mzuri sana kutoka Midfield a good CM kama Back up lakiniNot good enough
Bora tumemkosa, hata mimi mwanzo nilikuwa natamani aje OT ila ukiangalia uhalisia angekuja kwenye timu yetu yeye ndiyo angekuwa mfalme pale na ingeleta shida kuja kumpata mchezaji wa level zake ili asijione yeye ndiyo yeye katika timu. Ni kama ishu ya Pogba mwanzo alitusumbua sana ila kwa ujio wa Bruno imesaidia kumuweka sawa na kutokujiona yupo juu ya klabu.Hivi kweli Messi ndio tumeshindwa kumpata..
Tungempata mauzo ya Jersey tu yalitosha kulipa mshahara wake vizuri tu.
Nikikumbuka alichofanywa na jesus Vs city UCL nabaki kucheka Tu....Tunaye Varane hatutishikiView attachment 1887306

Kwa hili nakuunga miguu na mikono mkuu.Hapa tuko pamoja Jombaa. Binafsi sijawahi kuwaelewa waingereza kabisa, wana gharama kubwa mno kuliko uwezo wao halisi.
Niliwahi kusema tulipaswa kuwa na sera ya kuwapandisha waingereza kutoka timu za vijana (90% wamejaa wao) na sio kupoteza pesa kuwanunua. Mf. Class of 92' pamoja na Marcus & Mason.
Ukiangalia sasa hivi media platforms za Uingereza zinaaminisha watu wengi kwamba Declan Rice ndiye kiungo wa ulinzi bora pekee aliyoko sokoni. Kitu ambacho si cha kweli kuna Ruben Neves na Joao Palhinha ambao wanapatikana kwa nusu bei ambayo Westham wanaitaka (Pound 40M).
Still wachezaji wetu kuna wasiostahili kuwepo kwenye kikosi na wengine mishahara yao haiendani na viwango vyao.Haya mambo ya kununua nunua mashabiki tunayapenda sana lakini yamkini tungeangalia kwa makini nini kinaendelea barcelona basi lau hatuchukui makombe lakini tungeusifu uongozi wa club yetu kwa kuwa na disciplined financial management.
Nimefuatilia kidogo sana sababu za messi kuondoka barca, na sio messi tu, wataondoka wengi, bila hivyo hiyo club ingekuwa bunkrupt na ingewezwa kujifuta.
all this time tumekuwa tukisifia benchi la ufundi la barca kumbe hakuna kitu, the guys were buying trophies, sababu 95% ya mapato ya club yalikuwa yanatumika kulipia wachezaji mishahara, a typical financial mismanagement.
Hii ndio kitu guardiola kapeleka man city, na am afraid mwaka huu asipochukua uefa cup, atafurumushwa, sababu the only way ya project yao kuwa profitable ni kuchukua hicho kikombe.
ndio kitu pia inaendelea pale chelsea, abromovic ni mfanyabiashara, anamwaga pesa kwa malengo, ndio maana makocha hawakai pale, ikibainika tu kocha kaishapotezana muelekeo na uefa cup anafukuzwa.
PSG wanamlipa €41M kwa mwaka. Almost €700K kwa week.Hivi kweli Messi ndio tumeshindwa kumpata..
Tungempata mauzo ya Jersey tu yalitosha kulipa mshahara wake vizuri tu.
Mkuu unaposema centre mediflder.CDM siyo Central midfielder kwa maana ya kuwa box to box.
Mfano mzuri wa CM ni Toni Kroos, Paul Pogba, Mateo kovacic, Marco Verrati, Bastian Shweinsteiger, Ikay Gundogan, Marcelo Sabitzer Joao Moutinho.
Kati ya hilo kundi umeona kuna CDM hapo ?
Me nafikiri man u wanahitaji kiungo mchezeshaji mfano verrati anavyo cheza psg... jorginyo anavyocheza chelsea...modric anavyo cheza Madrid....tiago pale liverpool hawa wote wanautafaut na fred na mctomnay pale man u hawana uwezo mkubwa wa kupiga pasi na kuichezesha timu vizur lakn kwenye ukabaji wapo vizuri zaidMkuu unaposema centre mediflder.
Bado hujachambuwa ni yupi?
Centre mediflder
Either attacking
Or defensive
Wote ni centre mediflders.( viungo wa kati)
Unatakiwa useme mediflder wa aina gani..
Cm
Ni sawa useme neno DRIVER.
wapo madereva wa Lori,bus,,,ili kuwatambuwa lazima useme Lori driver.
Au bus driver..
Centre mediflder ni kiungo wa kati kwa kiswahili.
Bado hujaelezea ni kati wapi anacheza..
Mediflders wote Attacking na defensive wote ni centre mediflders.
Hujui unacho kiandika....fred na tom ni wachezeshaji? Au hao uliowataja na bruno wanatofauti gani katka roles on the pitch..Me nafikiri man u wanahitaji kiungo mchezeshaji mfano verrati anavyo cheza psg... jorginyo anavyocheza chelsea...modric anavyo cheza Madrid....tiago pale liverpool hawa wote wanautafaut na fred na mctomnay pale man u hawana uwezo mkubwa wa kupiga pasi na kuichezesha timu vizur lakn kwenye ukabaji wapo vizuri zaid
Ni kwl mkuu Fred na macc Tommy hawana viwango bora ktk man u.Me nafikiri man u wanahitaji kiungo mchezeshaji mfano verrati anavyo cheza psg... jorginyo anavyocheza chelsea...modric anavyo cheza Madrid....tiago pale liverpool hawa wote wanautafaut na fred na mctomnay pale man u hawana uwezo mkubwa wa kupiga pasi na kuichezesha timu vizur lakn kwenye ukabaji wapo vizuri zaid